Vibao Lugalo

Vibao Lugalo

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Nilipita pale Lugalo kambini nikitokea Tanga, nilishangaa kuona kibao kinasoma "UGALO RACKS" badala ya "LUGALO BARRACKS" Naomba wahusika wafanyie kazi.

Hata kile chuma cha kuonyesha eneo la kambi, kilichopo karibu na kituo cha daladala, kimepata kutu, rangi ime futika pamoja na maandishi yake.
 
Slaying
 
Hiyo ni lugha ya kijeshi.
 
Ila watu mnamshauri atoe akawaonyeshe kwamba kimeisha
 
siuzame ndani pale maramoja uwachukue ukawaonyeshe,kwanza watakuoa wewe ni mzaledo na unastahili pongezi.
hunitakii mema, adhabu zao ni ndogo ndogo ila Mhh. Niliwahi ona jamaa waliioba wali wa kambi, wakapewa kila mtu sado 2 ale amalize chini ya ulinzi, sasa mimi nikiingia sijui itatokea nini!
 
Back
Top Bottom