KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
SlayingNilipita pale Lugalo kambini nikitokea Tanga, nilishangaa kuona kibao kinasoma "UGALO RACKS" badala ya "LUGALO BARRACKS" Naomba wahusika wafanyie kazi.
Hata kile chuma cha kuonyesha eneo la kambi, kilichopo karibu na kituo cha daladala, kimepata kutu, rangi ime futika pamoja na maandishi yake.
Hiyo ni lugha ya kijeshi.Nilipita pale Lugalo kambini nikitokea Tanga, nilishangaa kuona kibao kinasoma "UGALO RACKS" badala ya "LUGALO BARRACKS" Naomba wahusika wafanyie kazi.
Hata kile chuma cha kuonyesha eneo la kambi, kilichopo karibu na kituo cha daladala, kimepata kutu, rangi ime futika pamoja na maandishi yake.
hunitakii mema, adhabu zao ni ndogo ndogo ila Mhh. Niliwahi ona jamaa waliioba wali wa kambi, wakapewa kila mtu sado 2 ale amalize chini ya ulinzi, sasa mimi nikiingia sijui itatokea nini!siuzame ndani pale maramoja uwachukue ukawaonyeshe,kwanza watakuoa wewe ni mzaledo na unastahili pongezi.