Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

Snoop Dogg

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2022
Posts
283
Reaction score
262
Wakuu,

Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
 
Vibarua kwenye miradi ya ujenzi hasa ya serikali wanalipwa kati ya 10,000 12,000 kwa siku.
Hapo gharama za chakula na usafiri unajitegemea.
Na kwakawaida wanalipa kila mwisho wa wiki.
Miradi mingine malipo yanakuwa 7,000 kwa siku na hela inatolewa mwisho wa wiki.
Hapo nimetoa maelezo kwa uzoefu wangu.
 
Nilidhani wanapata kuanzia 15 na kaman ni hivyo bora nibakie machimboni tu uhakika wa kulaza elfu 14 kwa siku ni mkubwa mno japo msoto ni mkali.
 
Mimi nafanya kazi za vibarua site za ujenzi, huku malipo nalipwa 15,000 na 20,00 kwa siku za zege.
Siku nayolipwa hela ndogo kabisa ni 10,000.

Unaweza kuona ni hela nyingi kimtindo, lakini msoto wake siyo mdogo.
Kuna injinia amenichukua kwahiyo natembea naye kila site anayopata.
Ugumu wa kazi za ujenzi bila shaka unaujua.
 
Daah hizi kazi nazijua mkuu hasa kubeba mawe na matofali ndio mziki

Sahivi kidogo fundi mimi ananiruhusu kukazia
 
Back
Top Bottom