VIBARUA VYA SAIDIA FUNDI

Nasibuhamisi

Member
Joined
Aug 26, 2023
Posts
14
Reaction score
19
Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es salaam,Nina uzoefu kidogo wa kuskim,kupiga rangi na kujenga tofali
 
Poleni sana..siku akili zenu zikifunguka mkaiona fursa iliyopo katika UFUGAJI hakika mtaona mlichelewa wapi..anyway hatuwez kuwa wote wafugaji
 
Wakati unasubiri mchongo wa kazi hapa mm nakukaribisha daku mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…