Vibe la Mch. Gwajima Mufindi Usipime

Vibe la Mch. Gwajima Mufindi Usipime

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Ila Watanzania Kwa kutafuta shortcut hatujambo.

Nyomi lote hili limeenda Kwa Gwajima kuombewa Ili kupata shortcut za unafuu wa Maisha.

Hivi inakuwa namna gani wajameni?

Hicho ni kielelezo cha umasikini wa akili unaolikabili taifa letu, wakati mwingine huwa tunajisahau sisi ni nani kwasababu wajinga kama hao wapo miongoni mwetu, ila mpaka wafanye ujinga kama huo ndio tunajikumbuka tulivyozungukwa na upuuzi.
 
Kila mtu anaenda kwa sababu anazozijua yeye
.wapo wanaotaka kumuona live tu!
.wapo wanaoenda kutatuliwa shida zao
.wapo wanaoenda ili wasisimuliwe kilichotokea
.wapo wanaoenda kifanya biashara/kutumia fursa
#Mwisho-.wapo wanaoenda kusaka madem
 
Fafanua mkuu modem ni kitu gani
 
Uzuzu wa watanzania at its best, jiulize kabla hizi dini hazijaingia hapa nchini, watanzania walikua na imani gani?,haya makanisa ya kiwokovu ni ya kitapeli na wametake advantage ya ufinyu wa kielimu wa watanzania wengi, binafsi sio zuzu na huwezi kuniona kwenye halaiki hizi
 
KWA sisi manabii tunatambua wanamufindi wamepata Bahati kubwa kuombewa na Mheshimiwa RAIS Ajaye!

Punga mikono popote ulipo KWA Mheshimiwa RAIS!!!!
 
Tanzania kuna mazuzu aise

Ova

Mazuzu, matahira ndio wamejaa hapa bongo, wewe wanaambiwa wapeleke kucha kwa mchungaji wanapeleka wana akili hao kweli, wana sadaka moja inaitwa kujimaliza yaani umalize akiba yote utoe sadaka useme mtu ana akili timamu kweli?
 
wewe uliona wapi kama hukwenda au kufatilia kwenye tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom