ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Fafanua mkuu modem ni kitu ganiKila mtu anaenda kwa sababu anazozijua yeye
.wapo wanaotaka kumuona live tu!
.wapo wanaoenda kutatuliwa shida zao
.wapo wanaoenda ili wasisimuliwe kilichotokea
.wapo wanaoenda kifanya biashara/kutumia fursa
#Mwisho-.wapo wanaoenda kusaka madem
Tanzania kuna mazuzu aise
Ova
wewe uliona wapi kama hukwenda au kufatilia kwenye tvMazuzu, matahira ndio wamejaa hapa bongo, wewe wanaambiwa wapeleke kucha kwa mchungaji wanapeleka wana akili hao kweli, wana sadaka moja inaitwa kujimaliza yaani umalize akiba yote utoe sadaka useme mtu ana akili timamu kweli?