Vibe la ongezeko la Wachungaji Wanawake wanaojibatiza uchungaji. Je, Ufufuo wa Bustani ya Eden?

Vibe la ongezeko la Wachungaji Wanawake wanaojibatiza uchungaji. Je, Ufufuo wa Bustani ya Eden?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,
Tucheke kwanza
"Oalaa kalooo'

Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi

Tutaona mengi ambayo hayakusemwa kuhusu Bustani ya Eden

Wadiz
 
Hizo ni dalili za Mwanzo Mwanzo wa haki sawa 50/50
Usitishike wanawake wameanza kua frustrated
Baada ya Wanaume kushtuka wananyonywa na kua manipulated na hao viumbe,
Waache wajipe faraja tu hamna unabii wowote ni stress tu zinawasumbua wanatafuta kujifariji!
 
Hakuna mtu anayependa kuwa mkulima; aandae shamba, aoteshe, apalilie, aweke mbolea, mvua zisumbue, alafu avune mavuno machache .
Bora watumie ujanja ujanja wa kukariri mistari miwili mitatu, pesa inaingia.​
 
Shalom,
Tucheke kwanza
"Oalaa kalooo'

Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi

Tutaona mengi ambayo hayakusemwa kuhusu Bustani ya Eden

Wadiz

Kusema wachungaji ni underestimation...hawa wanajiita manabii. Nilikuwa natafakari maana nzima ya unabii. Baada ya Yesu na hata kabla, Mwwenyezi Mungu amekuwa analeta jumbe, maonyo na maelekezo mbalimbali kupitia manabii. In fact, unabii ni moja ya kazi za roho mtakatifu baada ya Yesu kurudi kwa Baba.
Ila unabii umeingiliwa. Imekuwa sehemu ya wajanja, watafuta shortcut na mengineyo kujipatia kipato. Kuna mchungaji aliwahi kusema hizo hela mnazotoa haziendi kwa Mwenyezi Mungu. Wanakula hao wajanja.
Mimi sihami nilipo. Nimetosheka.
 
Shalom,
Tucheke kwanza
"Oalaa kalooo'

Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi

Tutaona mengi ambayo hayakusemwa kuhusu Bustani ya Eden

Wadiz
Wapo maaskofu pia
 
Dunia ya usawa, muda wao huu wanapambana na 50 kwa 50 kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom