Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,383 Reaction score 11,197 Jul 17, 2013 #1 http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=OlvXrNRWDa0#t=13s batai munhu - YouTube Yaani hata mm sikuipenda ila mkachangie hata kuwakumbusha Walimu wetu hasira hasara, Wanafunzi wanaweza kuwafia madarasani Mmh! Huyu Mwalimu anatoa adhabu kwa wanafunzi au anaua joka? - Tulonge
http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=OlvXrNRWDa0#t=13s batai munhu - YouTube Yaani hata mm sikuipenda ila mkachangie hata kuwakumbusha Walimu wetu hasira hasara, Wanafunzi wanaweza kuwafia madarasani Mmh! Huyu Mwalimu anatoa adhabu kwa wanafunzi au anaua joka? - Tulonge
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jul 17, 2013 #2 Duh lazima ticha alienda kumeza panadol baada ya hapo, sio bure hii mikwaju ilikua enzi zetu tu