mawazo mazuri sana ila unatakiwa ujipange kulinda utu wa mtu mchane mtu kwa staha usijeingia kwenye matatizo maana mabinti wa siku hizi akikuwinda akikukosa anakuchafua"yule boss alikuwa ananitaka kumbe yeye ndo alikuwa anamtaka boss" otherwise its good idea kwa pamoja tunaweza.