INAUZWA Vibubu vya kielektroniki

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Tunauza vibubu vya kisasa kabisa.

BEI TSHS 37,000
Piga 0744033555 kwa mahitaji.
Tupo Dar magomeni Kagera

Vina password maalum za kufungulia/kufunga

Vinatumia battery 3 za size ya kati

Vipo vya rangi tofauti tofauti: Red Black Pink Blue

Vimetengenezwa kwa Plastick ngumu isiyovunjika kirahisi

Jinsi ya kutumia kibubu hiki

Kwanza, weka betri zako 3 vizuri. Password ni 0000 kisha weka PIN MPYA UNAYOIJUA WW TU AU MWENZIO.

weka kibubu chako sehemu ya siri kisihamishike.

Weka pesa zako kwa tundu linaloonekana au kwa kufungua mlango wake.

 
Location yetu:
Njia Panda ya Oil Com Magomeni Kagera.

Kibubu hiki kinabeba hadi milioni 5

Tupigie 0744033555
 
Kweli Mchina kwa fursa hatumuwezi. Yaani baada ya kuona tunaishi kwa Vibubu kaamua kutuletea vya kubonyeza?
 
Kweli Mchina kwa fursa hatumuwezi. Yaani baada ya kuona tunaishi kwa Vibubu kaamua kutuletea vya kubonyeza?
You cant skip technology my dear.

Soon tunakuja na simu ambazo zitakuwa zinaandika sms moja kwa moja kwa kusikiliza utakachosema
 
Umeona eeeh, Sasa kibubu password ya nini? Hapo si unakuwa unakifungua kilasiku Sasa sijui kitajaa lini?
Tatizo ni nidhamu ya pesa.
Hata kama huna kibubu unaweza tunza pesa kwenye Maboksi ndani na usiziguse.

Most of us black people hatuna subira
Halafu majanga nayo ni mengi sana yanayoharibu mipango yetu
 
Tengenezeni na vile vya wale wa vikoba,viwe vina lock mbili au tatu, kwamba watu watatu tuu ndiyo wanaweza kufungua
 
Pia ni vyema kukawa na time restrictions. Yaan hata mtu akiwa na password asiweze kufungua kabla ya muda fulani aliojipangia. So inakuwa kama timer, haifunguki mpaka muda huo upite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…