Vibubu vya kisasa vinauzwa

Vibubu vya kisasa vinauzwa

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Tunauza vibubu vya kisasa kabisa.

BEI TSHS 37,000

Piga 0683011003 kwa mahitaji

Tupo Dar Magomeni Kagera

Vina password maalum za kufungulia/kufunga

Vinatumia battery 3 za size ya kati

Vipo vya rangi tofauti tofauti: Red Black Pink Blue

Vimetengenezwa kwa Plastick ngumu isiyovunjika kirahisi

Jinsi ya kutumia kibubu hiki

Kwanza, weka betri zako 3 vizuri. Password ni 0000 kisha weka PIN MPYA UNAYOIJUA WW TU AU MWENZIO.

weka kibubu chako sehemu ya siri kisihamishike.

Weka pesa zako kwa tundu linaloonekana au kwa kufungua mlango wake.

Screenshot_20210712-102701.png



Tazama video juu hapo namna ya kuyumia
 
Umeshindwa kabisa kuweka picha halisi za product yako mpk uweke picha za mtandaoni za wajukuu wa malkia??
 
Yani nitafute pesa mwenyewe alafu nizifiche.!!
 
Yani nitafute pesa mwenyewe alafu nizifiche.!!
KᑌᖴIᑕᕼᗩ ᑭᗴՏᗩ Tᗴᑎᗩ ᗰKᑌᑌ? 𝙝𝙞𝙡𝙤 𝙟𝙞𝙥𝙮𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙡𝙚𝙣𝙜𝙤 𝙡𝙖 𝙝𝙪𝙪 𝙝𝙞𝙠𝙞 𝙠𝙞𝙗𝙪𝙗𝙪
 
Hela unazitunza humo muhimu sana kwa mazingira ya sasa ambapo makato ni ya ajabu
 
Back
Top Bottom