Nzoka yihenge
Member
- Jan 14, 2011
- 47
- 31
hahahhah
"babe na sio baby"
utaitwa sana hivyo , ngoja mshiko uishe ndio utaijua habri yake.
Umenifurahisha sana.Viburudisho vya Dar eti mkiwa kwenye mtoko unaitwa Baby sogea hapa!!, mara oohh Baby usinywe hiyo. Baby inamaanisha nini sasa? I was'nt born last night. bora niende kwetu Mwanza ninakoitwa "omungw'ane gemaga hoyi!!!!!!!!!!!
Mhhh langu jicho
Tumetolewa nishai na mimi ni mmoja wao napenda sana kutumia hilo nenooh babe nini tena lol
Tatizo baadhi wanajua wanazinguliwa ila hawakomi..utasikia anaambiwa 'babes leo usiku wapi? halafu babe nimekumiss!!'..basi lizee likisia hayo maneno linajiona kama vile toto kweli, kumbe full kuzinguliwa..ha ha
ndo maana mie ukiniita,
sijui babe/baby , nakwambia....mwenyewe......!!!!!!!!!!
beb babe baby ohoooooooooooooooooooooo...........!!
ivi viambishi vya beb,honey,dear swetie ....ah sivipend....naona vya uwongo tu....we niite kwa jina langu la ubatizo tu basi....:dance:
wewe ningekuita we NANIHIII....mis u jaman...niaje ..mchana ukinidanganya utantambua...