Vibuyu(calabash)vya mapambo vinauzwa

Vibuyu(calabash)vya mapambo vinauzwa

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Kama kuna yeyote anahitaji vibuyu vya mapambo,ni vibuyu vikubwa vizuri kwa kupamba kwenye nyumba,mahoteli.
Unaweza kupamba kwa kuweka maua au kutumika kama lamp shield n.k,matumizi ni mengi .
Kwa wale waliofika pale peacock millenium hotel ,unaweza kuona aliyepamba vibuyu vinavyopendeza,nilivyonavyo mimi ni kama hivyo ,
karibuni
 
Back
Top Bottom