Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kweli kabisa hapa hapa JFTutaendela shusha nondo kibao, hata hapa hapa mkuu.. napokea maswali yoyote hapa hapa na tunayajibu hapa hapa.. leo tunaendelea mda si mrefu wazo lako la whatsapp ni zuri pia, ila hapa JF naona ni pazuri zaidi kwasababu ya uwazi wake
Haya tunaanza tena mkuu! Malaika mlinzi au kwa lugha nyepesi kabisa wanamuita guardian angel ππ. Huyu malaika huanza majukumu yake pale tu mimba ya mtu inapo tungwa.Ni kwa jinsi gani naweza muelewa my guardian angel??
Nami nasubiri kwa hamu na shauku hii kitu ikianza tu tafadhali nitagKesho tutapiga hii kitu deep sana.. leo nimechoka sana nilikuw safarini
Nimeanza tayari na tunaendelee mkuuNami nasubiri kwa hamu na shauku hii kitu ikianza tu tafadhali nitag
Swali kidogo mkuu Guardian Angel ni kwa vipi akasababisha ukafa kabla ya muda wako wakati ni malaika unaekuwa nae since unazaliwa na yupo kwa ajili ya kukulinda?Inasemekana kwa asilimia kubwa sisi wanadamu hatuna elimu ya kumuweka activate guardian angels wetu huyu ni spirit ya nuru na pia kuna ishara zake anapokuwa arounds you.Nimenena machache nnayoyajua bado nasubiri mwongozo wakoGuardian angel anaongoza familia, na kwa upande wa giza huita familia spirit. Huyu ni malaika ambae hubeba hatma ya kizazi kizima pia.. asume kama Ibrahim angeshindwa kuwa na uhusiano mzuri na guardian angel wake , maana yake ISAKA asinge mpata REBEKA.. niishie hapa.. kwa muelewa atauliza maswaliπππ.. sasa basi huo ni utangulizi wa guardian angel. Tunaenda namna anavyo operate namna ya kumuelewa namna ya kumuweka active na mambo yanayoweza mfanya akasababisha ukafa kabla ya wakati wako
Guardian angel ni malaika pekee mwenye uwezo wa ku access nafsi yako. Ni malaika ambae unaeza mtia kisirani, ni malaika ambae unaeza ukamfanya akawa weak kutokana na matendo yako.. ni malaika anaeweza invite other heavenly being kwenye maisha yako ni malaka pekee anae jua hatma yako na unapo elekea. Sasa inakuwaje ukachomoka kabla ya wakati wako ? Ukisha mfanya kuwa kisiriani na kumfanya kuwa weka anakosa nguvu juu yako na nafsi yako na hapo ndipo umauti unapokuja kabla ya mda. Sijui umepata point yangu kidogo hapa ?Swali kidogo mkuu Guardian Angel ni kwa vipi akasababisha ukafa kabla ya muda wako wakati ni malaika unaekuwa nae since unazaliwa na yupo kwa ajili ya kukulinda?Inasemekana kwa asilimia kubwa sisi wanadamu hatuna elimu ya kumuweka activate guardian angel ni spirit ya nuru na pia kuna ishara zake anapokuwa rounds you
Ishara zake ,ni moja wapo unaeza ukawa umeweka pozi sehemu, unasikia kama mtu anashika kichwa chako ( anaweka some wisdom ), au unasiki kitu kama joto linalo ambatana na furaha sanaaaaa... kama upo mahala flani amazing, lakini pia kwa wanaume unaeza hisi sehemu zako za suri zimekaukaa au kakaamaaa sanaaaa, kwa wanawake huwa wanakuwa wet.. hii maana yake ni kwamba una intimacy na malaika wako .. sasa hapa pata vuruga watu, ila ukiona pame kuvuruga uliza swali.. lakini pia kuwashwa macho ila unakuwa na peace ndani yako.. na ushara zingine nyingi zikiwepo za msukumo wa ndaniSwali kidogo mkuu Guardian Angel ni kwa vipi akasababisha ukafa kabla ya muda wako wakati ni malaika unaekuwa nae since unazaliwa na yupo kwa ajili ya kukulinda?Inasemekana kwa asilimia kubwa sisi wanadamu hatuna elimu ya kumuweka activate guardian angel ni spirit ya nuru na pia kuna ishara zake anapokuwa rounds you