Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

historia ya guardian angel, ilikuwa hivi.. Adamu na Eva, hawakuwa na Guardian angel, hawa walikuwa na Mungu mwenyewe.. walipozingua , wakaharibu mahusiano na Mungu. Mungu akaona hawa wataisha na hila za shetani, maana hayupo nao tena Karibu na ndipo tukaanza kuona guardin angel amabo walikuwa kama Sons of God.. ila baadhi yao walizingua kwa kulala na wana wa wanadamu
 
Nijuavyo mimi huyu malaika ni mojawapo ishara ya kuwa binadamu ndio kiumbe mwenye mamlaka ya makubwa kuliko viumbe vyote guardian angel hawezi kuwa kisirani bali anaweza kuhuzunika na kumfanya awe weak kutokana na matendo yako mtoto anapokuwa mdogo wewe unaweza ukawa busy unamshangaa anacheka kwa furaha kumbe kuna time huwa anafurahi na malaika wake au swala la mtoto kulia usiku pasipo na shida yoyote hana homa wala nini huwa anashuhudia vita kati ya roho chafu dhidi ya malaika wake...Ndio maana kuna kamsemo mtoto mdogo ni malaika.Kadri tunavyozidi kukuwa matendo yetu ndio huamua huyu malaika wetu awe close na sisi kwa ukubwa ipi maana huwa tunatoka kwenye kutawaliwa na nafsi na ndipo ubongo huchukua nafasi kubwa
 
Ukifuatilia sana wanachoita ushirikina au ibada za giza na ibada za mwanga ni kitu kimoja

Upumbavu wetu tu
 
Ujuavyo upo sawa. Ndio maaa nimeweka kwanza historia ya guardian angel kwa ufupi hapo.. ujue walianzia wapi. Malaikwa anaweza kuwa kisirani na anaweza akahuzunika pia. Na ndio maana kuna watu hadi leo wamepotea katika maisha kwasababu guardian angel ame abort mision
 


Mkuu fafanua hapo kuwa na intimacy na malaika wako.
 
Mkuu fafanua hapo kuwa na intimacy na malaika wako.
Let say, una meditade ukuu wa Mungu ,( maarifa ya Mungu au neno la Mungu paka unazama ndani kabisa, wengine huanza kuona inner vision au hadi upitiwa usingizi ( trance ) - supernatutal experience ). Dah! Nahisi hapa kuelewa intimacy tungeanza fundisha origin ya sex hapa pangekuwa rahisi sana kupaelewa.. ila ngoja nijaribu. Intimacy na guardian angel ni pale unapokuwa na deep fellowship na malaika wako as a result your guardian angel kuweka ( kupanda mbengu ya kiroho - inaweza kua aina ya baraka, kipawa , wisdoma.. mimba ya kiroho ndio matokeo ) kuna watu wana mimba za kiroho za mafanikio au vipawa flani hayo ni matokeo pia ya kuwa na intimacy na malaika zao amaboa hupanda hizo mbengu.. ila tungeanzia kule ingekuwa rahisi kunielewa why kwa wadada huwa wanakuwa wet.. na wanaume panakuwa kama pamegigwa baridi pana kakamaaa kabisa.. natafakari namna rahisi kukuelekeza kwasbabau ninge anzia kwenye origin ya sex ungeleewa kwa urahisi sana
 
Ugumu wenu tu wa kuelewa
Kwa hiyo Wewe unayeamini Madhabahu za Kichawi na Uganga ni sawasawa na Madhabahu za Ki Mungu!?

Sasa na wewe Shusha Nondo zako Hapo chini kama Mdau anavyofanya ili tuelewe hoja yako.....

Kama hilo huwezi, jambo la busara ni wewe kuficha Upumbavu wako kwa kukaa kimya.
 
Kilichokuudhi ni usawa wa madhabahu za kichawi na za kidini ama kutoshusha nondo?

Ugumu wenu tu wa kuelewa, sasa unataka nishushe nondo za kazi gani kwani napingana na kipi?

Mimi nakubaliana na maandishi haya na baada ya kusoma nikawaza mbona hizi ibada mbili ni kitu kimoja tu nyinyi mnakuja na mapovu

Yaani mwafrika anavimba kweli ukigusa imani za kizungu na kiarabu utafikiri anazijua

Pumbavu wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…