Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Anania na Safira walijenga madhabahu? Sadaka ni nini?
 
Nasubiri vifungu nikimbie. Hii ni mpya, kila asomaye na aelewe, kwamba Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya ulimwengu na pia kwa ajili YAKE MWENYEWE!! Ok, sawa. Weka vifungu uzidi kunichanachana
Waebrania 1 4
amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

👇👇👇

Amekuja pewa ilo jina baada ya kufa. Asingekufa asingepata hilo jina. Wala vitu visingetiishwa vyote chini yake.

Na kwa upande wa pili

Yohana 3 16
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Yohana 3 17
Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.

Hiyo ilikuwa ni kwa faida yake.
 
Kwa hiyo unataka kusema Yesu Kristo kabla ya kuja duniani alikuwa na upungufu kiasi ilibidi afe ndio afanyike bora? Hebu nieleweshe hapa
 
Kwa hiyo unataka kusema Yesu Kristo kabla ya kuja duniani alikuwa na upungufu kiasi ilibidi afe ndio afanyike bora? Hebu nieleweshe hapa
Ndio maana yake. Na ndio maana alijaribiwa na Ibiri.. ange loose asingefanyika bora
 
Aisee mapadri watakuwa wanaijua hili suala, kuna kanisa likiibiwa vikombe vya altareni, basi padri akasema tuombe Mungu wiki moja labda mwizi wa hivo vikombe avirudishe, basi haijapita wiki vikombe vikarudishwa, unachoongea ni sahihi kabisaa
 
Ndio maana yake. Na ndio maana alijaribiwa na Ibiri.. ange loose asingefanyika bora
Waebrania 1
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;
⁴ amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

** Amefanyika bora - baada ya kufunuliwa nadi wanadamu kumjua, tunaambiwa kuwa mamlaka yake ni zaidi ya mamlaka ya malaika. Yeye Mungu, huu ni ushuhuda wa mamlaka ya Kristo kwetu waamini.
-----------------

⁵ Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?

** Ndipo hiyo hoja yatolewe ile kuweka ushahidi, je yuko malaika yeyote aliwahi kuambiwa NDIWE MWANANGU? Hapana!! Hivyo hadhi ya Kristo imepita ile ya malaika.
-----------------

⁷ Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto.

** Malaika ni watumishi tu, angalia neno AFANYAYE!! Hao ni viumbe tu wanaofanywa kuwa wajumbe.
--------------------

⁸ Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.

** Sasa kwa Mwana (Kristo) asema - Yesu Kristo ni mfalme, ameketi kwenye kiti cha enzi cha Mungu, atawala milele. Hallelujah.
 
Aisee mapadri watakuwa wanaijua hili suala, kuna kanisa likiibiwa vikombe vya altareni, basi padri akasema tuombe Mungu wiki moja labda mwizi wa hivo vikombe avirudishe, basi haijapita wiki vikombe vikarudishwa, unachoongea ni sahihi kabisaa
Morogoro
 
Upo vizuri
 
Alikamatwa akitafuta mteja wa kumuuzia baada ya kugundua sio pure gold, is it?
 
Uliwaona wapi?wanafananaje?

Weka picha tuweze kuamini, otherwise hizo ni hadithi za kufikirika tu
 
Roho ni'nini na ipo sehemu gani katika mwili?.

Nb: ujathibisha bado.
Naomba uthibitisho wa uwepo wa vibweng'o
 
Maralia hiyo MKUU.
 
Kutoa unaweza kuahidi kuacha jambo ambalo unalipenda sana, amesema ni moja ya sadaka. Ahadi ni sadaka ukiitekeleza
Yaani inampa Mungu kiwanja ili akuonyeshe vibwengo!! Haya endeleeni, mie mtazamaji tu
 
Maandiko kama msomaji wa Biblie kuanzi NUHU alipotoka katika safina alitoa sadaka za kuteketezwa kwenye madhabau aliyo ifanya, mabingwa wote wa imani walikuwa na madhabau na walitoa sadaka katika madhabau.. NUHU, IBRAHIM ,DAUDI , ELIJAH etc..
Nani bingwa wa imani kumzidi Kristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…