Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Hii nayo nimebeba Kama ilivo....watu tunaenda kwa waganga kwakua tukiomba MUNGU hatupati instant results.....labda kwakua hatuna knowledge ya kuwaita na kuwatumia malaika....shusha vitu Swami
 
Kujitoa mwenyewe sadaka
Cha kwanza azimia ndani ya moyo wako kuacha vitu unavyopenda zaidi πŸ˜€πŸ˜€. Kama una penda sex kuliko kila kitu acha hiyo , kama unapenda aina ya chakula pia acha hivyo vyakula, sio uache kula kabisa, ila unakula badhi ya vyakula ili usife, pia sex huwezi acha kabisa ila kama ulikuwa unapenda chapa mala kwa mala, acha uwe unapiga kwa manyato sana ila balance usilete tafrani kwenye ndoa.. yani mention vitu vyote unavyopenda sana, then nenda mbele ya madhabahu vikabizi mbele za Mungu, kwa ku mueleza azima yako ya kuviacha hivyo na kuwa kama sadaka mbele zake..
 
Somo limeeleweka
 

Moja kabla ya kuingizwa kwenye urithi huwa wanakaa kitako counseling, na kujadiliana kuona nani anafaa kupewa hicho kitu. Hii ni kanuni ( spiritual law ). Ukiona umekuwa pointed maana yake kwenye vikao vya wajumbe umependekezwa na umeshinda kwa kishindo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Ukipitsihwa kwa either ulikuwa unajua au haukuwa unajua.. wanakufata sasa kukupata taarifa.. hiyo taarifa unaeza ukaikubali au ukakataa uteuzi.. ila mala nyingi ukikataa huwa kuna kuwa na tu vita vita.. japo ni easy pia kutengua uteuzi, inategema na imani yako
 
Huyo Roho naongea naye vipi? Namsikiaje anaposema? na anatokeaje? Ebu fafanua vizuri hapo.
 
Nimekusoma mkuu, ila Sasa Ila Apo Apo kn madhabau za kigiza ambazo zinaweza kumfanya mtu akawa ana sudi ya uchumi, swali ni je huwa wanaotumiwa ni hawa malaika wa mafanikio sekeli au wanatumia dark angel wa ibilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…