Acha kuwapa credit za bure hao wachawi mafara tu!!!! wooote hao wana dhiki tu! kama ni wachawi kweli ivo mbona Mkoloni aliwavuruga mpaka wakatoa nyaa!!! akawauza, akawalimisha, akawatawala mpaka leo hii mnakimbilia kwake kujisalimisha!!WACHAWI WANAUWEZO MKUBWA SANA WA KITECHNOLOGY YAANI MCHAWI ANAUWEZO WA KUJUA WEWE UNAWAZA NINI KTK KICHWA CHAKO,
smaki kumbe wewe ni mbumbumbu kwenye ushirikina..[emoji23]Acha kuwapa credit za bure hao wachawi mafara tu!!!! wooote hao wana dhiki tu! kama ni wachawi kweli ivo mbona Mkoloni aliwavuruga mpaka wakatoa nyaa!!! akawauza, akawalimisha, akawatawala mpaka leo hii mnakimbilia kwake kujisalimisha!!
kama kweli waweza roga waende wakaibe kwa ulozi palee Bank kuu!! wawaroge meneja na wafanya kazi wote wabebe hela!! au basi waende kariakooo waibe kidogkidogo mpaka zijae! hao marofa tu!
Aaaa! Haaa!! Mkuu mara hii umesahau??! au wamekufanyaje huko ugenini ulikoenda?? sisi wachawi lazima tuwe na sifa kuu ya unafiki ndo siraha yetu kuuubwa tangu zama! ili tubakie salama sisi wachache tu kunako fani ....smaki kumbe wewe ni mbumbumbu kwenye ushirikina..[emoji23]
Uchawi haufanyi kazi hivyo una formula zake na miko na taratibu zake kama hujui
Wachawi ni watu waliochanganyikiwa.Aaaa! Haaa!! Mkuu mara hii umesahau??! au wamekufanyaje huko ugenini ulikoenda?? sisi wachawi lazima tuwe na sifa kuu ya unafiki ndo siraha yetu kuuubwa tangu zama! ili tubakie salama sisi wachache tu kunako fani ....
wa manane lazima tuonane pale Msata kilimani karibu na jeshi nina jambo muhimu haliko sawa na wewe! ..... ntapitia njia ya Bagamoyo kati! safisha njia mapema!
Hivi wewe kijana una utani na wachawi!Wachawi ni watu waliochanganyikiwa.
Hayoo ni lazima!! ......sawa!!! leo usiku wa manane lazima tuonane pale Msata kilimani karibu na jeshi nina jambo muhimu haliko sawa na wewe! ..... ntapitia njia ya Bagamoyo kati! safisha njia mapema![emoji23]Aaaa! Haaa!! Mkuu mara hii umesahau??! au wamekufanyaje huko ugenini ulikoenda?? sisi wachawi lazima tuwe na sifa kuu ya unafiki ndo siraha yetu kuuubwa tangu zama! ili tubakie salama sisi wachache tu kunako fani ....
.make naona ma-vijana masomi na yasiyo soma hasa ya mbagalla yamevamia fani hii kwa kasii sana! kila mtu leo anataka kuwa Mganga/mchawi/mchungaji ili apige pesa!
Kilingeni tuliwaza na kuwazua !! nanukuu mkuu wetu... ''kila mtu akija huku uchawini!!! Misukule ya kutuchumia na kutwanga dawa Baba tutaipata wapiii?''..sometimes inabidi tuwapotezeee km hkn kitu ivi ...vile!.... ...
vijana ni wabaya sana! wao wanapenda kujaribu kila kitu!! yaani waliwahi nitega pale Stand ya Moro makaburini! kimchezo mchezo tu ivi! hawafai! asinge kuwa chikanga mbona ningekoma!
Mwisho .nakushauri tu Mkuu ukisha soma hii thread ifute/funga faster kichawi,...hapa naweka msisitizo sana!! chonde lengo langu ni ili wasiione hao vijana! watasumbua sana.....
na mie hapa nimeituma kuja kwako kwa nguvu za kichawi hkn mutu awaye yote anaiona, isipokuwa wewe mchawi tuu!.....kure kiringeni kwetu nimeitwaa na kuambiwa nifanye km nilivyofanya poteza! poteza!!
Hayoo ni lazima!! ......sawa!!! leo usiku wa manane lazima tuonane pale Msata kilimani karibu na jeshi nina jambo muhimu haliko sawa na wewe! ..... ntapitia njia ya Bagamoyo kati! safisha njia mapema!
Mada yako ngumu Sana Mkuu..Naumia sana ninapomuona mtu mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa.
KUMBUKA! Hawa nao ni binadamu wenye ndugu jamaa na marafiki! Wengine wana watoto... Ni jambo la kijamii linalohitaji tafakuri ya kina kwakuwa ni wachache MNO walizaliwa wakiwa vichaa.... Hujafa hujaumbika!!!!
Turejee kwenye mada yetu! Vichaa wako wa aina tofauti wapole waoga wakorofi wababe micharuko nknk.... Yote kwa yote hufanya vitu tofauti na kawaida yaani hutenda kinyume na mazoea.
Kuna dunia ya vichaa! Kuna mawasiliano kati yao na vitu tusivyoviona sisi lakini wao wanaviona kusikia na hata kuhisi
Huwa tunasema nut zimelegea ama dish limecheza au tunawaita dakika tatu mbele.
Nut zikilegea kwenye gari ama mashine lazima kutatokea sauti za ajabu.Dish likicheza lazima hutapata picha clear.
Dakika tatu mbele manake hii ni foreseen.. Yani wanaona kabla ya wakati husika kufika... [emoji15] [emoji144] je hiki ndio chanzo cha uchizi wao?
Wanapokaa na kuongea pekeyao kwa mtazamo wetu... Naamini hawaongei pekeyao bali huwa na mawasiliano na viumbe visivyoonekana kwa macho yetu.
Kuna viwango vya ukichaa! Mtu hawezi kuwa kichaa kwa asilimia mia moja! Na ikitokea akawa hivyo hachukui round anakufa
Lazima kuna asilimia za ufahamu hubakishiwa.
Ndio maana hasahau kula
Ndio maana mwili ukichoka atapumzika
Ndio maana usiku ukiingia atalala
Ndio maana hachani hela wala kutupa
Ndio maana akivuka barabara lazima achukue tahadhari japo si kwa asilimia mia moja
Ndio maana huhisi kupendwa ama kuchukiwa nknk
Yote kwa yote kuna jambo kubwa nyuma ya vichaa ambalo huwa hatujishughulishi nalo zaidi ya kuwa na mawazo hasi kila tuwaonapo!
KaribuniLink ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum
Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi
KaribuniLink ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum
Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi
Sio benk hata nyumbani kwako hawezi kutoka na kitu chochoteAcha kuwapa credit za bure hao wachawi mafara tu!!!! wooote hao wana dhiki tu! kama ni wachawi kweli ivo mbona Mkoloni aliwavuruga mpaka wakatoa nyaa!!! akawauza, akawalimisha, akawatawala mpaka leo hii mnakimbilia kwake kujisalimisha!!
kama kweli waweza roga waende wakaibe kwa ulozi palee Bank kuu!! wawaroge meneja na wafanya kazi wote wabebe hela!! au basi waende kariakooo waibe kidogkidogo mpaka zijae! hao marofa tu!