Vichaa huona nini?

nina babamdogo wangu wa ukoo yeye ni kichaa na anatumia dawa a.. huwa anatabia ya kusema watu waliokufa na kusema amaeongea nao , na huwanasema fulani atakufa huku anacheka na baada ya muda fulani yule mtu hufa kweli.. huwa tunamwita mageuzi japo.. na mkipanga jambo akiwepo anatangaza kabisa anasauti kubwa huyo ...
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji33]
 
Mmh huyu kuna namna si bure mtani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskin...jee utabiri wa kuhusu hela anao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale watu bwana kuna namna ambayo huwa nashindwaga kuwaelewa kabisaa... Wale wakorofi unaweza kuta mko watatu au wanne akampiga mmoja wenu tena kwa kumchagua kabisaa.... Au akachagua mmoja akamtusi...

Hii nimeiona mnoo zaidi ya mara tatu na vichaa tofauti yaaani lile rungu alopigwa mwenzangu kila mtu alijua mie ndo nashushiwa... Daah
 
Miss nahisi babaako mdogo power yake haina tofauti na power ya Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…