Vichaa huona nini?

Vichaa vingine ni vya kiukoo sio kuògwa.Je unajua kuna vichaa wasomi hata maproffessor?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa mambo ya kurogana, kihalisia kila mtu ni kichaa (tuna elements za ukichaa). Viwango tu ndiyo tofauti. Ikizidi sana ndiyo unakuwa ugonjwa wa akili wengine wanaita chizi. Kama ilivyo pia kwa magonjwa mengine, kila mtu anaumwa, ila kiwango cha gonjwa flani kikizidi ndiyo mtu anashindwa na kwenda kwa tabibu.
 
Kama ilivyo pia kwa magonjwa mengine, kila mtu anaumwa, ila kiwango cha gonjwa flani kikizidi ndiyo mtu anashindwa na kwenda kwa tabibu. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Ni kweli kamanda Mshana kwa ufahamu wangu hafifu nilijaribu kutafiti kidogo kuhusiana na hawa watu na kubaini kuwa licha ya kuonekana useless in society lakini wana kitu kizito katika bongo zao ambacho ni very useful in certain environment maybe out of our planet
 
Hiyo ya kutabiri ni kweli kabisa huwa wanajua mambo yanayokuja...ni kama manabii vile
 
Uchizi mwengibe ni wale wenye akili zilizopitiliza darasani wanaekewa zaidi ya mwalimu kufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…