Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Sababu kubwa ya kuwepo kwa Vichaa ni Kurogwa kunakotokana na wizi wa mali za watu ama laanatuulah.
Miaka ya nyuma kulikuwa na vichaa wengi mitaani hasa katika majiji makubwa ya Dsm, Arusha na Mwanza...ila sikuhizi hawapo na hata ukienda Mirembe huwakuti
Mnajua wanapelekwa wapi? [emoji1]
Hao ambao walizaa watakua sio vichaa Bali wamepangiwa kuonekana kama vichaa kutoka Kazi I kwako,Hakuna aliyeomba kuzaliwa kichaa wala hakuna wazazi wanaopenda kuwa na watoto vichaa(labda kwa masharti ya mganga) na hii ni roho ya ukatili mkubwa kabisahawa pamoja na uchizi wao lakini bado wana hisia za upendo na wanapendana hasa! Ukiangalia hizo picha nyingine hapo inasemekana mahusiano yao yalidumu mpaka wakapeana mimba! Tafsiri yake ninini? Wana kiwango cha ufahamu wamebakishiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usione ajabu ktk ulimwengu mwingine!! usio ujua weye mshana unaonekana Bonge la kichaa kabisaa kwisha kazi!! Maisha haya hatujui mengi sisi km watu! Mie nilidhania ni Tanzania tu kuuumbe;Hakuna aliyeomba kuzaliwa kichaa wala hakuna wazazi wanaopenda kuwa na watoto vichaa(labda kwa masharti ya mganga) na hii ni roho ya ukatili mkubwa kabisahawa pamoja na uchizi wao lakini bado wana hisia za upendo na wanapendana hasa! Ukiangalia hizo picha nyingine hapo inasemekana mahusiano yao yalidumu mpaka wakapeana mimba! Tafsiri yake ninini? Wana kiwango cha ufahamu wamebakishiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikataa mambo ya kiringeni lazima yakukute hayo ya ukichaa!! kwa mfano weye ungekataa kubeba zile hirizi za babu yako kwa Moyo!! na kuwanga ungekoma nakwambia!Sijakuelewa
somo zuri sana, nimelipenda ,ni sehemu ya jamii inayotuzunguka.nakupongeza ndugu mtafiti na mwandishi.rai yangu nakuomba kuendeleza utafiti wako ktk hili tatizo ili liweze kuja na ufumbuzi tiba wa hili tatizo.Ni kweli kiongozi..mimi pia nishaona watu wengi wakiwanyanyasa na kuwapiga wenye matatizo ya akili...Mungu awalinde waja wake hawa..nawahurumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ni tatizo linalohitaji ufumbuzi.Usione ajabu ktk ulimwengu mwingine!! usio ujua weye mshana unaonekana Bonge la kichaa kabisaa kwisha kazi!! Maisha haya hatujui mengi sisi km watu! Mie nilidhania ni Tanzania tu kuuumbe;
Jamani Lesotho Maseru ndani ya Hapida, kubhstoana kule , south Africa , Texas jamani napo eti, Alabama!! Zimbabwe Palee mitaa ya juxsta, Angola, Namibia, Melbone, uuuwiii!
eti kooote huko nimewakuta vichaa mbaya zaidi tena weusi tii.... nikajisemea moyoyni heeee!! au kwa vile Wayahudi weusi sie tuli muudhi Mungu???
inawezekana hao Baba zao ndo walipaswa kuwa na dhamana/Mamlaka ya kutuongoza hadi kwenye nchi ya ahadi?? sasa ona au sababu ya kumuabudu Yesu Mzungu! sasa imekula kwetu!
Hee!!ee!! wee mazee kabisaa huyu yesu huyu mtanashati kijana wa kizungu? asiye jua sikitiko huyu? pwiii!.....Yesu gani....Nilikuwa na Yesu rohoni[emoji1545]
Ila Ukiona kichaa anaongea pekeako ujue Kuna vitu vimepandikizwa kichwani kwake, yaani wachawi wanatabia moja kama uliwauuzi basi wao wanakuangalia kwenye lada yao wewe ni kitu gani kinakukera Sana au kuna watu ulikolofishana nao basi wanacheza humo humo.Naumia sana ninapomuona mtu mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa.
KUMBUKA! Hawa nao ni binadamu wenye ndugu jamaa na marafiki! Wengine wana watoto... Ni jambo la kijamii linalohitaji tafakuri ya kina kwakuwa ni wachache MNO walizaliwa wakiwa vichaa.... Hujafa hujaumbika!!!!
Turejee kwenye mada yetu! Vichaa wako wa aina tofauti wapole waoga wakorofi wababe micharuko nknk.... Yote kwa yote hufanya vitu tofauti na kawaida yaani hutenda kinyume na mazoea.
Kuna dunia ya vichaa! Kuna mawasiliano kati yao na vitu tusivyoviona sisi lakini wao wanaviona kusikia na hata kuhisi
Huwa tunasema nut zimelegea ama dish limecheza au tunawaita dakika tatu mbele.
Nut zikilegea kwenye gari ama mashine lazima kutatokea sauti za ajabu.Dish likicheza lazima hutapata picha clear.
Dakika tatu mbele manake hii ni foreseen.. Yani wanaona kabla ya wakati husika kufika... [emoji15] [emoji144] je hiki ndio chanzo cha uchizi wao?
Wanapokaa na kuongea pekeyao kwa mtazamo wetu... Naamini hawaongei pekeyao bali huwa na mawasiliano na viumbe visivyoonekana kwa macho yetu.
Kuna viwango vya ukichaa! Mtu hawezi kuwa kichaa kwa asilimia mia moja! Na ikitokea akawa hivyo hachukui round anakufa
Lazima kuna asilimia za ufahamu hubakishiwa.
Ndio maana hasahau kula
Ndio maana mwili ukichoka atapumzika
Ndio maana usiku ukiingia atalala
Ndio maana hachani hela wala kutupa
Ndio maana akivuka barabara lazima achukue tahadhari japo si kwa asilimia mia moja
Ndio maana huhisi kupendwa ama kuchukiwa nknk
Yote kwa yote kuna jambo kubwa nyuma ya vichaa ambalo huwa hatujishughulishi nalo zaidi ya kuwa na mawazo hasi kila tuwaonapo!
Ila Ukiona kichaa anaongea pekeako ujue Kuna vitu vimepandikizwa kichwani kwake, yaani wachawi wanatabia moja kama uliwauuzi basi wao wanakuangalia kwenye lada yao wewe ni kitu gani kinakukera Sana au kuna watu ulikolofishana nao basi wanacheza humo humo.
Kama wewe ni mvuta Bangi wanacheza na Bangi na lengo ni kujificha ili isijulikane kama umerogwa ila wanataka watu wajue kuwa ni mibangi ndiyo chanzo.
Wakati mwingine wanakutupia jini ambae kazi yake atakua anakukera ili ukose amani au anakuletea mambo kibao eidha ya watu ulitofautiana nao au uliwakera kwa namna mojoa au nyingine basi unakuta taswira za wale watu zinakuja kichwani na matokeo yake unakuta mtu anapayuka pekeake.
NOTE; WACHAWI WANAUWEZO MKUBWA SANA WA KITECHNOLOGY YAANI MCHAWI ANAUWEZO WA KUJUA WEWE UNAWAZA NINI KTK KICHWA CHAKO, MCHAWI NA MGANGA NI THE SAME ILA MGANGA ANATIBU MCHAWI ANAHARIBU.
Changamoto za afya ya akiliHatujui.
Sahihi mbeya Kuna kichaa alizaa na kichaa mwenzie ila mtoto alichukuliwa na watu wa ustawi wa jamiiHakuna aliyeomba kuzaliwa kichaa wala hakuna wazazi wanaopenda kuwa na watoto vichaa(labda kwa masharti ya mganga) na hii ni roho ya ukatili mkubwa kabisahawa pamoja na uchizi wao lakini bado wana hisia za upendo na wanapendana hasa! Ukiangalia hizo picha nyingine hapo inasemekana mahusiano yao yalidumu mpaka wakapeana mimba! Tafsiri yake ninini? Wana kiwango cha ufahamu wamebakishiwa
Sent using Jamii Forums mobile app