United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Babu yang aliwah nambia mjukuu wangu ikitokea ghafla umekutana na Simba polini usikimbie wew mtazame machoni tu .ukimtazama mda mrefu machoni simba anatabia ya kuona aibu. hivyo ni rahisi kukuacha na kuendelea na shughuli zake .Kila ni kaa ni kiwaza naona mzee si Bure atakua alihisi mim ni kichaa au ni mvuta Bangi ndio manaa akaamua nambia maneno Kam haya Nani atambui ukali na ubabe wa mnyama Simba,na hajui ufalme wa Simba ,nani hamugopi Simba Simba ndio mnyama anayejiamin Kwa kiwango kikubwa kuliko mnyama yoyote yule. japo sio msingi wa maada yangu Leo
Ukigeuka mchezo wa soka hasa barani ulaya Kuna makocha wawili Kila nikiwatazama siwapati majibu rasmi ni Vichaa.ni machizi,ni wavuta Bangi au wanajitoa ufahamu. Jose Mourinho na Diego simeoni hawa jamaa kama FiFa ingeruhusu matumizi ya Bangi kweny mchezo wa soka basi wangekua wakwanza kusapoti wachezaji wavute bangi kabla ya mechi
Diego simeoni labda aina ya maisha aliyekulia kwao America ya kusini yanamfanya awe vile .Watoto wa america ya kusini wengi wao hasa wachezaji wamekulia kweny mazingira ambayo wao.wanacheza mpira uwanjani mtaa wapili watu wavuta Bangi,kushoto wezi wanavunja duka,pembeni wanawake wanajiuza,wachezaji weng wa america ya kusini ni wakorofi kweli kweli wachache sana ni waungwana .mfano Diego semion kocha wa altetico madrid ni mkorofi hadi kaumbukiza ukorofi wachezaji wake
Unaikumbuka atletico Madrid iliyobeba ubigwa wa la Liga mwaka 2013 /14 Ile timu ilikua ina wachezaji watata na wapenda faulo mda wote wanawaza kupiga kiatu tu kwanza Golini aliku a anasimama courtis ,kushoto aliku anacheza Filpe luiz kulia aliku ancheza msapanish Juanfran .at least hawa watu watatu
walikua sio sana watu wamatukio balaa nilikua linaanzia Kwa beki wa kati na kuendelea Diego Gordin na Miranda sitaki kukumbuka Rafu zao za ovyo huyu Diego Gordin ndio kamlisha.Tabia chafu ndugu yake Jese maria gimenez . kweny safu ya kiungo na ushambulishaji ndio kulikua na wehu watupu Raul Garcia nazani hakuna mchezaji wa kispanishi alikua anaenyoy kucheza rough na tough game kama huyu yey kupiga kiatu na kupata yellow card ni kitu Cha kawaida kwake. afu kulikua Kuna mtu anaitwa.Gabi akiwa uwanjani mda wote anawaza kumpanda mtu.Arda Turan kuvua viatu nakupigia watu usoni kwake sio kitu kupata kadi nyekundu kwake sio kitu ila kuvuluga mechi ndio kitu ambacho alikua anakifurahi zaidi Sergio Ramos na pepe wanamjua huyu jamaa .staki kabisa kumzungumzia Diego costa huyo ni special case.
Aleast kidogo simeoni kabadilika kweny kiosi chake Cha hii mwiaka ya karibuni anavichaa na tough player wachache sana wanaesabika labda.Savic, jesemaria gimenez huyu ni kitasa kweli kweli Kuna Filipe nazan unakumbuka alichomfanya fodeni kweny Robo fainali ya UEFA
Jose Mourinho na mkumbuka na inter Milan yake ya 2010 yakina Diego Milito, Wesley sjinder,chivu,maicon,cambiasso water Samuel,Mario baloteli,mariga,Lucio nazan watu walio ishudia hii inter Milan wanakumbuka vizuri na upambuvu aliowahi kwenda kufanya pale Real Madrid wakuwambia Sergio Ramos na pepe wachezaji faulo.za makusidi ili wapate kadi nyekundu wakose michezo ijayo huyu mtu alikua mpuzi kweli kweli Kuna mechi aliwah waanzisha carvlho,Sergio Ramos,pepe,diarra,Micheal essien ,Xabi alanso . Mourinho naye ni kesi nyingne sitaki msimulia sana
View attachment 2282832View attachment 2282833View attachment 2282834View attachment 2282835View attachment 2282837View attachment 2282838View attachment 2282839View attachment 2282844View attachment 2282845