Vyombo vya habari Iran vyenye mrengo wa serikali imesingizia timu yao kushindwa ni mambo ya kisaikolojia iliyopandikizwa dhidi ya wachezaji wao.
Kwa iyo Iran ilikuwa inacheza dhidi ya Uingereza, Marekani, Israel na Saudi Arabia Iran 2- England, Israel Saudi Arabia 6.
Mhariri wa gazeti hilo ambaye uteuliwa na ayatollah.
Soma Zaid kwa Kiingereza #2
Huyu ndio Bwana Utam 🤣🤣🤣🤣
Mzee , Iran inadai lakini gazeti ulioiweka ninuengereza na sio ya Iran. Sio kila kitu unachoona basi ni sahihi . Tafuta gazeti ya Iran kuhakiki kama ni wao waliosema hivyoVyombo vya habari Iran vyenye mrengo wa serikali imesingizia timu yao kushindwa ni mambo ya kisaikolojia iliyopandikizwa dhidi ya wachezaji wao.
Kwa iyo Iran ilikuwa inacheza dhidi ya Uingereza, Marekani, Israel na Saudi Arabia Iran 2- England, Israel Saudi Arabia 6.
Mhariri wa gazeti hilo ambaye uteuliwa na ayatollah.
Soma Zaid kwa Kiingereza #2
Kwanini Iran imefungwa 6 - 2 , sio siri.Vyombo vya habari Iran vyenye mrengo wa serikali imesingizia timu yao kushindwa ni mambo ya kisaikolojia iliyopandikizwa dhidi ya wachezaji wao.