Vichoma nguo ni mboga?

wengine wanakula kama mboga na wengine wanaburudika kwa kuvuta (mhadarati)
 
Mkuu natumia "like" ningegonga "simu". Umekuta wenyeji wako wanakula ingekuwa na madhara ungewakuta? Bibi yangu aliniambia kuwa inatibu hadi vidonda vya tumbo na inakausha vidonda haraka sana. Unapokea mgeni kama huyu balaa.

inaongeza damu kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…