moyo mpweje
Member
- Jan 28, 2014
- 9
- 3
Naomba msaada ninapokua nimelala kitanda Sasa inapotokea nimejigeuza nashikwa na vichomi vikali chini ya kitovu upande wa kulia, pili ni naumwa tena kichomi kikali Sana nyuma ya mgongo kwenye mbavu ya chini msaada