M moyo mpweje Member Joined Jan 28, 2014 Posts 9 Reaction score 3 Oct 7, 2018 #1 Naomba msaada ninapokua nimelala kitanda Sasa inapotokea nimejigeuza nashikwa na vichomi vikali chini ya kitovu upande wa kulia, pili ni naumwa tena kichomi kikali Sana nyuma ya mgongo kwenye mbavu ya chini msaada
Naomba msaada ninapokua nimelala kitanda Sasa inapotokea nimejigeuza nashikwa na vichomi vikali chini ya kitovu upande wa kulia, pili ni naumwa tena kichomi kikali Sana nyuma ya mgongo kwenye mbavu ya chini msaada