Naomba ushauri, mke wangu analalamika vichomi vimezidi, mwili mzima. Hana amani na kwa kulalamika kwake nahisi vinammaliza. Sijui vinaumaje but i can emargine.
Naomba kujua vinasababishwa na nini, Nini tiba yake, na ushauri mwingine wakufaa kuhusu tatizp hilo.