W wingman7 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 346 Reaction score 76 Aug 5, 2016 #1 Habar, naomben msaada wenu kwanini wakati nafanya jogging huwa napatwa na vichomi sehemu ya tumbo upande wa kulia au kushoto na kwenye kifua upande wa kulia tatizo ni nini???
Habar, naomben msaada wenu kwanini wakati nafanya jogging huwa napatwa na vichomi sehemu ya tumbo upande wa kulia au kushoto na kwenye kifua upande wa kulia tatizo ni nini???
Hanitoni JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,146 Reaction score 990 Aug 5, 2016 #2 usiwe unakula alaf unakimbia.pia usiwe unakunywa maji ndo unakimbia hakikisha unakimbia baada ya kula km saa moja lililopita na kunywa maji kiasi kidogo
usiwe unakula alaf unakimbia.pia usiwe unakunywa maji ndo unakimbia hakikisha unakimbia baada ya kula km saa moja lililopita na kunywa maji kiasi kidogo
W wingman7 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 346 Reaction score 76 Aug 5, 2016 Thread starter #3 Hanitoni said: usiwe unakula alaf unakimbia.pia usiwe unakunywa maji ndo unakimbia hakikisha unakimbia baada ya kula km saa moja lililopita na kunywa maji kiasi kidogo Click to expand... Yah huwa nakula midaa ya saa nane lakini maji nakunywa glass moja kabla kutoka nyumbani kwenda jogging
Hanitoni said: usiwe unakula alaf unakimbia.pia usiwe unakunywa maji ndo unakimbia hakikisha unakimbia baada ya kula km saa moja lililopita na kunywa maji kiasi kidogo Click to expand... Yah huwa nakula midaa ya saa nane lakini maji nakunywa glass moja kabla kutoka nyumbani kwenda jogging