VICHWA VYA DARASANI

Nilikua kichwa primary lkn nilipoanza kuonja tu ikawa ndo basi tena.....jamani papuchi tamuuu
 
Mimi Shule ya msingi niliburuza japo sio sana ila Top10 sikukosa
Somo lilikua linanishinda English[emoji3] mtihani wa Taifa sijui nilipata 20...mingine yote 50/50
Mathematics/History nilikua naburuza mno kiasi kwamba Mwalimu wangu aliniambia nishone sare ya sekondari ambayo ningekuja kusoma na nikaja nikasoma hapo hapo
Shida ikaja secondary bwana Kwanza Lugha inayonishinda ndo ilibidi niitumie/Nyumbani maisha vurugu mechi/na mambo kibao

Nikidrop vibaya mno mpaka leo watu hawaaminigi niliishia Olevel
 
Primary nlkuwa one of the best student

O level -form 1 up to 4 mm ni wastani wa 80 nikiteremka sana 70 na ushee huku nyuma Nikiwa nimempiga range kali poyoyo aliefuatia hyo ni form 1up to 3 form 4 mock nilivunja record one ya 8 niliongoza wilaya ila kimkoa watatu walinipa cheti cha kuonyesha mchango wangu nimekiweka ukutani hata sku Nikiwa na watoto mapoyoyo wakisema baba mbona we mlevi unatusema ss tunafel nawaambia angalien pale juu necta form 4 nilipiga one ya 9


Advance kombi pgm nlipangiwa wakati ule hii comb ilikuwa ina performance mbaya Mimi pekee kwa kombi yangu niliondoka na kijiti cha 5 Wale wazee wa PCB ( pumbu chafu balaa) PCM wahuni wangu nawakubali , CBG (combination for beautiful gay &girl)niliwakanyaga shule Fulani IPO....kuna baridii... Duuh hapa nitajulikana..nshoti pombe nilikuwa au in short nilianza lewa hukuu nilijulikana kama mlevi kama ushanipata classmate kausha mambo ya fake ID tusifichuane

Chuo sasa ni mwendo wa formation, kuingia na vibomu kweny course work Kama somo nimezingua nampanga lecture na hela kdgo ananifachia mafekele ntafanyaje sasa wakati nlkuwa sisomi Mimi nalewa halafu nilikuwa nina stress za kukosa chance ya kusomeshwa urubani,hapo nimekimbia kijijini majanga kibao kutembea na wanafunzi plus vurugu za bangi wakati makunguru maji na viwani vya 9 na two ya kumi wanasoma (tatizo Hali duni nlkuwa NAyO) plus na kujuana kwingi all In all engineer hawanaga GPA zakitoto nilifanya wonder at the end

Hapo mtoa Mada sjazungumzia diploma huko ndo nilikuwa kilaza maana nilidanganywa afya ndo kuzur na kwakua sikusoma bios advance ilinibid nianze diploma niliambulia patupu nilisoma miezi 6 nikaone ngoja nirudi kweny fani yangu masomo yangu na chengine kilichonifukuza nilimpiga lecture chupa ya bia ya kichwa alishonwa nyuzi kazaa aliniletea mawenge class na nlkuwa nimelewa
 


CBG πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe umesoma enzi za mwalimu hili somo la history primary umelisomea wapi?

Au English medium?
 
bora umetukumbuka maana tulishasagaulikaga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3] wee jamaa maisha yako yana heka heka nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…