Vichwa vya habari kwenye magazeti ya kesho 24/01/2020

1. Uhuru - Lugola ajiuzulu uwaziri
2. Mwananchi - Lugola atumbuliwa kwa aibu kubwa
3. Tanzanite - ???
4.
5
6
Wakuu hebu tuendelee kubashili vichwa vya habari kwa kila gazeti
Ask Musiba
 
3. Tanzanite - Kweli Magufuli dume, amtosa mwanafunzi wake Lugola uwaziri, dunia yatahayari. Benjamin Netanyahu na Malkia Elizabeth wamtumia salamu spesheli kumpongeza. Putin na Trump wamualika dinner kwenye nchi zao kwa wakati tofauti baada ya kumtumbua Lugola.
 
Wizara ya Mambo ya ndani awamu hii imekuwa ndio Kichinjio cha Wanasiasa wasaka Urais , Ukiona umepewa hii Wizara jua ndio Bongo star search yako ya Kisiasa
ukifatilia vizuri hiyo wizara hakuna waziri anayemaliza muda wake salama
 
Rushwa Yaitikisa Wizara Ya Mambo Ya Ndani, Waziri, Kamishna General Wa Zimamoto, Katibu Mkuu
Waachia Ngazi.
Ofisi Zao Zatakiwa Kusafishwa
 
Rais angekuwa hajamaliza nafasi za Uteuz za Ubunge wa kuteuliwa, basi hii Wizara ingemfaa sana Mtoto mteule
hahah hapo hapafai wapendwa wake, hapo ni kwa ajili ya wale ambao baada ya muda watachafuka na kutofaa kuwekwa popote tena maana kuna maagizo mabaya sana hupewa na yaki-backfire wanaachiwa msala wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…