MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
UHURU: Wanasheria wa Serikali wamfundisha kazi Lissu....aomba yaishe.Tanzania Daima: Lissu Awafundisha Sheria Mawakili Wa Serikali.
NIPASHE: Kibatala Tishio, Mawakili Wa Serikali Wamgwaya.
MWANANCHI:Nchi Yasimama Kusikiliza Kesi Ya Tundu Lissu
MTANZANIA: Lissu Ni Noma, Apangua Hoja Za Serikali, Hakimu Amkubali.
Je! Gazeti la UHURU litaandika nin? Wadau tubashiri.
Ndicho mnachowaza kutengeneza vichwa vya habari kila sikuTanzania Daima: Lissu Awafundisha Sheria Mawakili Wa Serikali.
NIPASHE: Kibatala Tishio, Mawakili Wa Serikali Wamgwaya.
MWANANCHI:Nchi Yasimama Kusikiliza Kesi Ya Tundu Lissu
MTANZANIA: Lissu Ni Noma, Apangua Hoja Za Serikali, Hakimu Amkubali.
Je! Gazeti la UHURU litaandika nin? Wadau tubashiri.
Uhuru ni gazeti lenye chuki na Ukawa huenda lisiandike kitu kabsa .UHURU: Wanasheria wa Serikali wamfundisha kazi Lissu....aomba yaishe.
Ndivyo litakavyoandika UhuruNdicho mnachowaza kutengeneza vichwa vya habari kila siku
Fanyeni kazi wana UKUTA
Hamieni Dodoma kwanza mbona kazi tu ya kuhamia Dodoma inawashinda ?Ndicho mnachowaza kutengeneza vichwa vya habari kila siku
Fanyeni kazi wana UKUTA