Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew ya leo umeyasoma?Hawa wenzetu magazeti ya kesho wanaweza wakayapita kama hawajui kusoma kisa kuna habari njema za yanga
Nimeyasoma, kwani mechi ya jana ipo kwenye ligi mliyokuwa mnasema kusbinda kwa yanga ligi bado ipo mwanzo/ushindi wa yanga ni upepo unapita?Wew ya leo umeyasoma?
Ndio hiyo hiyo mpaka leo imecheza mechi 13 haijafungwa hata moja na kudraw mbili,una lingine?Timu ya mrisho Ngasa kweli vyura wamesajili
wewe mwenye kikongwe Okwi/Kagere/ Bocco vp?Timu ya mrisho Ngasa kweli vyura wamesajili