Vichwa vya habari magazetini kesho..

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Wadau naomba tutabiri vichwa vya habari vya kesho magazetini hasa yale ya rangirangi..
Mimi naanza na hivi.
1.Simba ala nyasi,,ashindwa kujizuia aangua kilio ukumbini baada ya kukosa tuzo..
2.Kiba,Diamond waangukia utosi mbele ya wanaijeria,wakesha wakitafutana na mond ili wafarijiane..
3.Mond,kiba,waula wa chuya sauzi..

Naomba tuongezee vichwa vya habari hapo..Karibuni sana wanajamvi..
 
D ana afadhali majuzi yeye pamoja na harmonize walipewa tuzo, ishu IPO kwa kiba ambae hajapata tuzo yoyote ya kimataifa
 
Alli Kimba alia na hujuma ya team wasafi.

Nyumba sauzi yamkosesha tuzo diamond

Ali kiba na diamondi wajuta kwenda south.

Romy jonsi amkosesha tuzo diamondi.
 
Alikiba aimba live kama recorded,aonyesha ufalme wake Mpaka ugenini! Pop it in
 
Mme wa Zari achangia Daimond kukosa tuzo
Alikiba alikua bado na hofu ya kuzimiwa mic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…