Vichwa vya habari miaka mitano ijayo na kuendelea

hiyo tu yenye red ndo inawezekana zingine ndoto
 
Huu uzi ungeletwa usiku tungesema mzizi mkavu.usingizi umempaa lakini kwa mchana huu sijui tuieje.

Hii ni zaidi ya ndiyo lakini hakuna lisilowezekana chini ya jua kupanga ni kuchagua.
Tuanze na katiba Mpya bora kabisa ya warioba kuandaa hizi ndoto.
 
πŸ˜•πŸ˜• kumbe jukwa hili. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…