Vichwa vya habari miaka mitano ijayo na kuendelea

Hii imekaribia. 2018Wachambuzi wamasuala ya uchumi duniani, wametoa takwimu za Tanzania kuongoza kiuchumi kanda ya Afrika mashariki na kati.
 
CITIZEN NEWS 2135: Nchi ya Tanzania yasitisha msaada wake kwa Marekani baada ya nchi hiyo kuzidisha rushwa na matumizi mabaya ya pesa za umma kwa viongozi wake.

CTN NEWS 2150:
Rais wa Uchina akutana na rais wa Tanzania ikulu jijini Dar es Salaam na rais huyo wa Uchina kufikisha ombi lake kwa rais wa Tanzania kuweza kulisaidia jeshi la Uchina kuweza kukabiliana na kundi la kigaidi la Dragon

Kwakweli nimecheka sana, Ni ndoto njema, Mungu atusaidie
 
ni ndoto lakini nimeipendaaa...!you never know yaweza timia mwanzoni mwa dunia ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…