maonomakuu JF-Expert Member Joined Jul 24, 2015 Posts 2,516 Reaction score 1,198 Jan 31, 2016 #61 Sakayo said: aisee hiyo miaka, hivi ndo tutakuwa wapi vile Click to expand... Utakuwa kwa Muumba wako
Sakayo said: aisee hiyo miaka, hivi ndo tutakuwa wapi vile Click to expand... Utakuwa kwa Muumba wako
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,154 Reaction score 1,848 Jan 31, 2016 #62 Tanzania hiihii
jay311 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,932 Reaction score 2,715 Jan 31, 2016 #63 KUNA VITU AMBAVYO HAVIWEZI KUTOKE,HII NI BAYANA YA MAMBO YASIYOWEZEKANA NA KUTARAJIWA.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Jan 31, 2016 #64 Haaaaaaaa hapana chezea!
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 7,981 Reaction score 17,743 Mar 25, 2019 #65 TBC HABARI 2020 : Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama pinzani.
TBC HABARI 2020 : Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama pinzani.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Apr 3, 2019 Thread starter #66 Slim5 said: sisi wengine pressure huanzia miguuni mkuu! Click to expand... Pole sana kaka
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,102 Reaction score 3,343 Apr 3, 2019 #67 MWANACHI 2026. Hatimaye lile fisadi papa kutokea chato lahukumiwa kunyongwa hadi kufa