Waaapi baba, la kuvunda halina ubani! CCM wananuka na matangazo na Tshirt zao! Watanzania wameamka, enzi za kudangnywa na Tshirt na pilau zimekwisha. Hata wapandishe watu kwenye ndege kwenda kwenye mikutano yao haitasaidia. suala sasa ni kulnda kura! hakuna kuondoka kwenye vituo, hakuna kwenda kujisaidia, nendeni na tochi kwa wingi ili wakizaima umeme nyie mumulike, msile au kunywa cha kupewa, tia sahihi karatasi ya matokeo baada ya kuisoma vizuri, usiogope kuwepo kwa mgambo au polisi, tangazeni matokeo ya kila kituo mara baada ya kuridhika nayo, jiandaaeni kwa maandamano kama matokeo yatabadilishwa, pelekeni mawakala wa kutosha kila kituo, n.k.