Vick Kamata na Victoria Foundation kuleta big cerebrities in the world ili kuongeza utalii Tanzania

Vick Kamata na Victoria Foundation kuleta big cerebrities in the world ili kuongeza utalii Tanzania

Asterisk

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
214
Reaction score
50
Mh Vick amemwomba waziri wa maliasili na utalii kushirikiana na Victoria Foundation kuwaleta watu maarufu duniani hapa nchini ili watu wengi waje na kuongeza utalii.

Ameyasema hayo leo bungeni na kutolea mfano kipindi kile Beckam alivyokuwa akitembelea nchi mbalimbali kwamba utalii uliongezaka kwenye hizo nchi...
 
Siyo lazima hao celebrities waje TZ. Hata sisi (Bodi ya Ngorongoro) inaweza kwenda Israel kutalii!
 
....mbona utalii wa ndani tu umetushinda kuhamasisha?? tunaanza kuplan vitu vikubwa ile kodi ilike tuu
 
hayuko siriaz... anajimegea pande kupitia serikali.

wapo wengi wanaleta celebrities na hawaombi hizo priviledges
 
mi napita jamani...VICKY KULETA WATALII???...
 
Hii nchi kamwe haitaendelea. Viongozi tulionao ndo style ya akina Vick wanadhania kutembelewa na watalii ni hisani...
Come on TANAPA, this is business, advertise it. Kwanza hiyo foundation hata mimi mchovu siifaham
 
hahaa...
kaoteaje?
afu kaotea pumba...lo
 
Nahisi waziri anashugulika na Catherine foundation. Hiyo Victoria foundation ikamwombe MKULU USHIRIKIANO NA WAMA
 
Back
Top Bottom