Mh Vick amemwomba waziri wa maliasili na utalii kushirikiana na Victoria Foundation kuwaleta watu maarufu duniani hapa nchini ili watu wengi waje na kuongeza utalii.
Ameyasema hayo leo bungeni na kutolea mfano kipindi kile Beckam alivyokuwa akitembelea nchi mbalimbali kwamba utalii uliongezaka kwenye hizo nchi...
Hii nchi kamwe haitaendelea. Viongozi tulionao ndo style ya akina Vick wanadhania kutembelewa na watalii ni hisani...
Come on TANAPA, this is business, advertise it. Kwanza hiyo foundation hata mimi mchovu siifaham