Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Maswali hayo yamejibiwa huko mahakamani
 
Mdogo wangu Vicky hukujifunza kwa Jack Ntuyabaliwe?
Hujifunzi kwa gold diggers kila uchao?
Hebu heshimuni ndoa za watu.
 
Hatimaye ukweli umejulikana Mahakamani.

Big up mkuu, bila shaka wewe ndo mtoto wa Marehemu Likwalile uliyembwaga Vicky kwenye kesi ya mirathi.
 
Ana Bahati Vicky Jumba analomiliki Mmeliona?????Billion imelalaa Eeh Mwenyezi Mungu nifungulie Mlango na miye.
Unamaanisha nyumba ya Mbweni ambayo alitaka kuing'ang'ania isiwekwe kwenye mirathi ambayo kashindwa kwenye kesi ya mirathi na mwenyewe kwenye ushahidi wake alisema wamenunua 400M yeye na mumewe? Au nyumba yake binafsi ya Sinza ile ghorofa moja ambayo haiwezi kuwa na thamani zaidi ya hiyo hiyo 400M including na kiwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…