Pfizer JF-Expert Member Joined Mar 25, 2021 Posts 590 Reaction score 807 Sep 21, 2023 #1 Kuna watu wanajikakamua kuongea kutokana na mihemko au kutokana Makasiriko tu. Vicky Kamata anatetea haki yake. Watanzania Tujifunze kubishana kwa hoja. Haja, wale wote wanaohisi wapo sahihi na Vicky hayupo sahihi, yunaomba majibu Yenu.
Kuna watu wanajikakamua kuongea kutokana na mihemko au kutokana Makasiriko tu. Vicky Kamata anatetea haki yake. Watanzania Tujifunze kubishana kwa hoja. Haja, wale wote wanaohisi wapo sahihi na Vicky hayupo sahihi, yunaomba majibu Yenu.