Vicky Kamata aula - Kuimba na Lil Bow Wow

Status
Not open for further replies.
Mkuu Scanner yako ni ya lenzi mbunuko au mbonyeo??? any way thanx for the info Sijajua ratha yake itakuwaje maana ni sawa na mtu umekula karanga kavu ambazo hazijakaangwa halafu ukaenda kula dagaa (wachache najua mtanielewa)
 
Makubwa!sasa vicky kamata ataimba nini na bow wow?
 
Nakaaya was signed up with Sony and in the end it was a frustrating relationship which never happened!

But all the best Mz Kamata
 
Ataimba naye nini sasa! Kwani huyu sista si anaimbaga ngonjera.
 
mimi siamini km viki kamata ni mwanamuziki. sijaona anachoimba ukifananisha na mtu km jd komando yeye sanasana katumia rasilimaki zake binafsi na si kipaji cha uimbaji
 
LIL BOW WOW IS LIKE QUU CHILLAA THESE DAYS AU MANDOJO NA OMOKAYA.................... HATA WAMPE MIAKA KUMI HAMNA kitu
 
Mkuu Scanner yako ni ya lenzi mbunuko au mbonyeo??? any way thanx for the info Sijajua ratha yake itakuwaje maana ni sawa na mtu umekula karanga kavu ambazo hazijakaangwa halafu ukaenda kula dagaa (wachache najua mtanielewa)
Aya yayaaa karanga na dagaaa duh.
 
LIL BOW WOW IS LIKE QUU CHILLAA THESE DAYS AU MANDOJO NA OMOKAYA.................... HATA WAMPE MIAKA KUMI HAMNA kitu
hahahahahaaa! kiboko hii!!
 
Tusubiri tuone nini kitatokea...
 
Okey, anaza mchezo, Hivi ishu ya Nakaaya na SONY MUSIC iliishiaga wapi??
 
miziki yao haiendani sasaa sijua itakuaje ! sipati picha :becky::becky::becky:
 
mimi siamini km viki kamata ni mwanamuziki. Sijaona anachoimba ukifananisha na mtu km jd komando yeye sanasana katumia rasilimaki zake binafsi na si kipaji cha uimbaji

vick sawa anaimba ila cha kujiuliza anaimba nini, jibu ni anaimba kwaya
kwayo vick si mwanamziki ila ni mwana kwaya
 
vick sawa anaimba ila cha kujiuliza anaimba nini, jibu ni anaimba kwaya
kwayo vick si mwanamziki ila ni mwana kwaya

sasa mwenzie gangstar..huyu msifiaji...hata bongoflava hayumo..mayb anaimba gospel la mwanza..
 
kwanza hata kiingereza chenyewe anajua huyu??? au ni kukata kata likiuno lake ka pipa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…