Ngandema Bwila
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 1,017
- 258
Huyo Vivky Kamata hata sijui kwanini kapewa ubunge!!
Labda akiingia mjengoni atu prove wrong
Ole wako bi Salma akusikia, utakoma ubishi, shauri yakoWeka wazi tu. Ni Mburudishaji wa Kikwete. Kama anabishi akanushe
Lakini hapo hata mie ningekuwa m/kiti wa chama uzalendo ungenishinda.....
Inabidi umuombe sugu radhi. Sugu ni mtu makini, mwanaharakati, na mtetezi wa haki. Iweje leo aongee lugha moja na vicky kamata ambaye si mwanaharakati bali ni mtu wa kujipendekeza na kujikomba kwa viongozi? Kumbuka vicky hana tofauti na ephaim kibonde. Pia nafasi ya vicky amepewa zawadi au hongo kama vile wewe unavyotoka safari unamnunulia demu wako ch*pi. Wewe unahonga bikin wenzio wanahonga kodi za walalahoi!!!yangu macho