Aisee mkuu chalii yangu mavi punda. Tulikuzoeaga mwanzoni mwanzoni na hii picha ya huyu jamaa wa Zenji enzi za okelo kwenye avatar yakoalikuwa anaongea kiingereza kizuuri. Ukaibadilisha na kuweka ya jambaz Joseph KonyiYule mzee Meko alikuwa zaidi ya mbwa
Mkuu Asante kwa bandiko lako, tatzo wanataka democracy ya USA, AMERICAN NA UK I apply hapa tz hakuna kitu Kama hicho, Mungu hakuruhusu tu jpm akae miaka 10 ila angekaa nchii hii ingekuwa Ni miongoni mwa nchi zenye uchumi imara na wanaopenda nchi yao..Ni kweli kabisa! Wachina legelege zaidi ya milioni 70, warusi zaidi ya milioni 20 waliuwawa na watawala katili wakina Mao, Stalin - sasa ona nchi hizo maendeleo walio piga! Sisi tunadanganywa kusudi tusiendelee eti democracy.
Ila Vicky janjajanja degree ya Kwanza alisomeshwa na Askofu WA Katolini Jimbo la Shinyanga Hadi akamuimbia na wimbo. Alisomea St Agustino Mwanza. Yaani yeye anasomeshwa na watu Baki si wazazi, ndugu. Dada mjanja Sana.Askofu Balina.
Kuna ARV wangu. Mtu unaweza ona hadiBesti JK kweli hana 1980s disease? Na kama anayo jamaa inaonekana genes zake zina response vema na minjingu
Hahahaaaa...... Manka unateseka sana, pole!Liulize li johnthebaptist huko
Lazima atapita na emoji ya kicheko.Dah itakuwa Extrovert yuko busy sana. Yani hadi hii page ya 16 mwamba ajalike.?!
Ndio maisha aliyozoea kuombewa ombewa.Kwa Askofu Balina aliombewa na mjomba wake ambae ni Padri huko Geita,ndiyo maana akapata huo ufadhili.Huku kwingine nadhani ndiyo aliamua kujilipua mzima mzima.
Nyumba hizi zinaficha mengiAise
Ova
FisadiKuu kuu anamtumbua fisadi. Bora kaenda zake tu.Mbona mnamchonganisha mdada wa watu. Yeye alipata majeraha kwa mume wake kutumbuliwa. Ukitumbuliwa kwa ufisadi au uzembe sio ajabu wewe na jamaa zako kupata machungu.
Lakini umma wa wananchi walipata faida sana kwa viongozi fisadi na wazembe kutumbuliwa. Na kwa hili wanamkumbuka na kumlilia magufuli. Kusema Magufuli alikua kiongozi mkatili ni uongo. Alikua kiongozi mwema sana kwa umma na asye na huruma kwa watu fisadi na wazembe. Huo ndio ukweli wala kama nchi tusije shiriki kilio cha fisadi na wazembe...acha walie wenyewe.
Siyo CCM tu wanasiasa wengi ni wanafiki niambie mwanasiasa yeyote wa upinzani ambaye siyo mnafiki
Vick alitaka kuwatapeli hao watoto wa likwelile kitu gani?Updates please, nimekua busy sana aisee... nawachukia mno wanawake majambazi wa mali za watoto wa marehemu. Kumbe limeshaangukia pua?[emoji23][emoji23] halaf kwa exposure gani aliyo nayo? Watoto wa likwe wapo vzr mno upstairs. Tena watu wazima kabisaa. Mjinga kweli
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mpaka waupate huo ubunge wa viti maalumu wanapitia mengi sana.Very shallow woman, ndio aina ya wabunge wa viti maalum wa CCM inaowpenda ata simple reasoning capacity hawana.
Kahaba sijui hata ana elimu gani maana si kwa mdomo huu.Kifo cha Mume wake ni neema kwake maana anataka kuwadhulumu watoto wa Marehemu
Uwezo wake wa kufikiri ndo huu?Ndio swala la kufa kila mtu atakufa hakuna aliyekatra. Lakini mambo Magufuli alivyokuwa akifanya alijiona immortal hatawai kufa ataishi milele kisa tu alibahatisha urais kwa kupewa na NEC. Matokeo yake kafa kwa aibu kwa kuzungushwa zungushwa na machela. Kumbuka hata kabla hajamminia Lissu risasi alishampangia hadi mazishi yakr
Ila huyu dada ana connection na watu wazito sana,hivyo lazima afurahie maisha, japo kwa Magu...haikuwa rahisi.Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.
ila sure,upo sahihi,mi naona huu msemo wa duniani tunapita 7unatumiwa vibaya,jiwe alikuwa katili ndio na alijua atapita tu so kifo kisitumiwe kama kumsimanga mtu
ya jiwe yameisha watu wamuache tuendelee na mengine hata wakisema the Guy is no more na hasikii chochote
bora Lissu na kina Lema na Mbowe walimpa za uso akiwa hai na alizisikia,kusema mtu hayupo hakubadili chochote
Nitakuwa wa mwisho pia Kuamini kuwa ( Hajaathirika ) na Dally Kimoko Virus Solo Guitar kwani kuna sehemu Mbili Moja umeitaja hapa na nyingine umeifumba zote 'zilishaooza' tokea miaka hiyo.Mafanikio yake mengi amepayapata kwa kuvua chupi ndio maana mwanaume kijana mwenzie alimkimbia kumuoa siku ya sendoff.
Akiwa mwanamuziki aliwahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mtangazaji amina chifupa baada ya kuanza kutoka kimapenzi na mume wa amina bwana mpakanjia ambaye wakati huo alikuwa promota mkubwa.
Ugomvi ulivyozidi Kikwete akaamua kumtupia BOT wakati huo alikuwa kamaliza chuo cha nyegezi mwanza ambacho kwa sasa kinaitwa SAUT ambako huko BOT ndio alikutana na huyo bwana likwelile.