Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Alivyo na mdomo utafikiri ni msomi wa PhD kumbe muuza sura tu,ni mdangaji wa kawaida.
Anatumia turufu ya kumtukana JPM ili kupata teuzi.
 
Kwahiyo Vicky unachukulia JPM kufa ni kama adhabu? Huyu dada ana matatizo sana, watu wakianza kumchambua atavumilia? Si aendelee na maisha yake? Toka JPM amefariki ni vijembe tu!

Huyo JPM ukitoa wananchi waliomheshimu ana mke na watoto! Na vijembe vyako vinawafikia! Unataka tuhuma zako kwa JPM akujibu nani wakati unayemtuhumu hayupo? Jinga kabisa ...
 
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Nitajie mmoja tu ambaye sio mnafiki kwenye chama chao.
 
Taja Kiongozi MMOJA TU wa America aliyewahi kuwa katili.
 
Mbona Nigeria, Congo, Equatorial Guinea, Uganda, Cameroon, Sudan, CAR, Liberia zimewahi kuwa na viongozi makatali kama wajukuu wa shetani na hazijafika popote?
 
Ambao hawakuunga tela walikuwa vichaa?
Sasa unafiki wake uko wapi kama alikuwa anaimba kumsifia mtu aliemshikia bunduki kichwani??

Mtu kama kashikikilia maslahi yako na unajua katili ..na kila mtu anamuimba apate nafuu why wewe usiunge tela?
 
johnthebaptist huyu sio mzee mgaya?
 
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Koma usimuhukumu Vicky" hata shetani alikuwa Malaika Mwema, Mbinguni akiimba na kusifu!

bidaye alimgeuka Mungu akitaka cheo chake, kwa hasira za Devil Malaika watakatifu wa Mungu walisoteshwa na shetani, wakala kichapo kisawsawa, akiwamo Yesu kristo pale kalvari aliipata, tena waliwahi kuishi wote mbinguni na huyu Bwana basi!

Yesu alipigwa mpaka akazimia pale Msalabani!... Uongo!! ... mpaka leo ana alama za Misumari, ukibisha akija utaziona! jua aliye mpa Yesu, kile kichapo waliwahi ishi wote mbinguni! walikula wote, walicheka!!! lkn Devil akampiga km hamjui!!!

Ukigeu geu! wa shetani, ndo sawa na Jiwe yeye hakujali ulimpigia kampeni! au la!, wala kumsaidia chochote! anakuumiza tu! km alivo babake devil! sasa jiulize Mungu hakujua? km mie muongo muulize Nape yaliyo mkuta tena mchana kweupeee!! mpaka kasahau njia!

pamoja na kupinda mkonowe, mpaka leo yule jamaa! mkono ni kibutu, January, Mzee kikwete! na wengine wengi jiwe hakujali utumishi wao kwa Umma! aliwaliza tu kwa furaha ya umaarufu wenu! au alitamani kuwaliza!

Mtu timamu Utampigaje mwenzio risasi mia tano jamani? atakunyaje huyo? Mkewe atampaje vitu? wkt naniiliu ni matobo matupu! kwani hayo yooote vicky hakuyaona?? yaani amtetee tu sababu alimuimbia? kwani shetani awali si aliimba na Malaika?

Kamata kuyasema haya inaonyesha ana akili timamu! kuliko...
 
kwa maisha yale? nasema! Jiwe hakufa anatumikia adhabu! Mungu si muongo!! aliwahi sema ''Kwa maana mshahara wa dhambi ni Mauti.............."" kwa kauli yako hii tukuamini wewe aua Mungu?
 
Mtu akiwa ni Rais, hata kama zamani alikuwa ni rafiki yako, huwezi kwenye Public ukasema ni rafiki yako. Rais ni mtu mkubwa na ni Public Figure. Ni wapuuzi tu ambao wanaweza ku misuse jina lake in Public. Namaanisha Mareheme Likwe
Kolola ni msemo unao fanana na kigari kidogo cha kupandwa na abiria wanne!! kinakaliwa kinajambiwa! Yesu na Manabii! !walishakufa kitambo sana , ..... leo mbona tunasema Yesu Rafiki wa moyo wangu?............acha hawa wa juzi juzi! bado tuna kumbukizi! umelewa au...
 
Watu wanajiokotezea tu tu taarifa then wanatambaa nazo ilimradi tu wamchafue yule alieongea wasichopenda kusikia.
 
Umesema vidhuri!!!! sasa kwa nini amnyime mwenzake ulaji? tena kote kote? ?? kwani mshahara wa AU una mpunguzia nini jiwe? km siyo roho mbaya tu? kwanza amejitahidi kuomba!! amekubaliwa wewe rais na mihela yoote hiyo unambania! sasa kwa nini usife?
 
Kama hukunielewa basi unaniaminisha kuwa kweli umelewa
 
Membe aliekosoa yeye si binadamu ?
Yeye Membe si mtu, ni TISS!! mkongwe!! hawaguswagi kiukweli wale hee! ila wamefunzwa kucheza michezo kama yoote! km Mlema si huyo hapo kayumbisha sirikali weeee!! wajinga wakamfuata! anakula na kuponya mpaka kesho na Vunjo kashusha ghorofa saba!
 
Hagahahaha hawa malaya hawaa. Ikaishiahe. Kwahiyo amekwamaaa. Maamaaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Mamamaeeee. Makahaba haya. Hv hawa malaya huwa wanafikiria nn

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nyani haoni kundule wewe unavopigana miti na kuku!! sometimes punda siyo malaya? Unajua starehe ya mzazi wako wa kiume? ni ipi? au weye ulitokaje km siyo mtu kuinamishwa tena bafuni faster!! .......... basi omba msamaha uwe salama kenge weee! ndudezile zina laana mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…