Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Hagahahaha hawa malaya hawaa. Ikaishiahe. Kwahiyo amekwamaaa. Maamaaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Mamamaeeee. Makahaba haya. Hv hawa malaya huwa wanafikiria nn

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
ALaaah!!! kuuumbe wewe ni ke ndo maana una chuki na mwenzako!!! alivo mzuri.....usitutukanie bana tutakosana bure!!!
 
Vicky ana stress tu,anataka kuzimalizia kwa Magufuli
 
Hii ndio comment pekee kati ya zote nilizosoma ambazo nimeona mtu katumia akili kujibu. Big up[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Vicky wasikusimange simange bana mie bado nakupenda km vipi njoo!! twende zetu UN! ukale maisha huko achana na hawa wabongo wanumwa fungus!
 
Aisee. Marehemu Likwelike na familia zote toka mke wa Kwanza mpaka wa 3 nazifahamu mno. Niite mwongo Ila pole Sana.
Mary namfahamu tangu yupo Tambaza anasoma Alevel na Liwe yupo Dar Tech! Upo hapo? Hata alivyompatia gari Efatha unajui hiyo?
 
Malaya?
Mwanahalamu wewe hujui ndugu zake tumohumuhum,unamtusi Alisha kuvulia? son of Beach
Kwa hiyo Vicky kamata alifanyiwa unyama gani? Huyo malaya alimind baada ya mmewe kutumbuliwa basì
 
We nawe mmama nini[emoji706][emoji706]
Kaungane na kahaba mwenzako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
ALaaah!!! kuuumbe wewe ni ke ndo maana una chuki na mwenzako!!! alivo mzuri.....usitutukanie bana tutakosana bure!!!
Nina chuki? Yaan tukifunguka kisa ni mwananke mwenzetu ndo chuki? Ulisikia nina dhiki ama? Mjinga kweli. Tunapenda haki. No matter where. Ama nani. Hatupendi dhuluma

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mary namfahamu tangu yupo Tambaza anasoma Alevel na Liwe yupo Dar Tech! Upo hapo? Hata alivyompatia gari Efatha unajui hiyo?
Hata Mimi ninamfahamu Mary na Likwe!!! Mpaka kutengana kwao!!! Mpaka issue ya media!!! Kifupi Vicky Kamata hakuhusika kutenganisha Likwe na Mary. Walitengana muda mrefu mpaka Likwe akaoa. Kwa kuwa marehemu hawasemwi basi Ngoja niishie hapo nikuache wewe unayejua zaidi.
 
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake!

Wewe badala uongelee utii wa sheria unaongelea ukatili

Pumbavu kabisa
 
Issue ya kutofunga ndoa ninaifahamu. Na mimba ya huyo baby girl nafikiri ndiyo ilipatikana kipindi hicho. Ila sijui ni kwa nini alazimishe mtoto awe wa Likwe. Kuhusu tabia zake za kuchepuka zinajulikana wazi na inasemekana bit la kigogo Baba wa wanawe wa Kwanza alileta Shida na muoaji akaogopa pamoja na infidelity zake. Kikubwa Vicky hakuhusika kumuachanisha Likwe na mkewe wa Kwanza Mary. Hata mke wa pili alipofariki Likwe alianzisha au kuendeleza mahusiano na mwanamke mwingine Ila ghafla bin vuu tukasikia anaolewa Vicky Kamata. Daah Yule aliyeachwa aliduwaa na kupata ganzi kabisa.
Hii dunia aisee acha kabisa. Unaweza kuomba isimame ushuke.
 
Naona kumepambazuka. Alianza mzee Diallo akasema jiwe alipaswa kuwa Milembe, sasa ni Vicky anasema jiwe alikuwa mnyama
Tanzania inaitaji kiongozi DICTATOR MZARENDO NA HUO NDIYO UKWELI
 
Yeye anasema kifo cha Magufuli ni neema kwa taifa.

Vicky anaunga mkono kauli ya askofu Shoo kwamba mama aliponye taifa.
NEEMA KWA TAIFA AU NEEMA KWA MAFISADI? Wazarendo wa kweli tunamtambua magufuli kuwa alikuwa ni kiongozi sahihi na madhubuti mwenye uchungu na nchi yake ,kuhusu huyo kahaba muulize kama alikuwa na uchungu wowote na mali za nchi yetu kama tanzanite na dhahabu yetu iliyo kuwa inatoroshwa na mafisadi wakishilikiana na mabeberu ,mbona asemi kuhusu raisi aliye kuwa ana uza nchi yetu ,tena huyo vick ajafanya chochote cha kizarendo toka kuzaliwa
 
Anasema ukweli lazima usemwe jiwe alikuwa mnyama.
Mnyama kwa mafisadi ndiyo maana africa tunampenda jiwe na tulitaka mama awe kama magufuli tutatumia nguvu zote kufanya hivyo vinginevyo 2025 tunapiga out by the power of nyerere and magufuli legacy
 
Nimeona andiko lake na nimelisoma vizuri inaonesha sababu kuu ya kuongea hayo ni kukosa maslahi binafsi especially Mumewe alivyotumbuliwa pamoja na yeye kukosa cheo chochote hivi ndio vipengele alivyovikazania kwenye andiko lake.Kwa maana hiyo kwamba sio kwa sababu ya ukatili anavyodai Bali Magi kafanya vile kama sehemu ya kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…