True Believer JF-Expert Member Joined Mar 6, 2019 Posts 586 Reaction score 886 Sep 20, 2023 #441 Sexless said: Anasema ukweli lazima usemwe jiwe alikuwa mnyama. Click to expand... Kwani aliwahi kukufanyia ukatili gani, icje kuwa ulistahili kufanyiwa huo ukatili.
Sexless said: Anasema ukweli lazima usemwe jiwe alikuwa mnyama. Click to expand... Kwani aliwahi kukufanyia ukatili gani, icje kuwa ulistahili kufanyiwa huo ukatili.
kirengased JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 6,348 Reaction score 7,058 Sep 20, 2023 #442 Yaani upinzani wakiumizwa unakaa kimya nakufurahia... Sasa yamekurudia wewe unaanza kushauri taifa zima tuishi vipi!?!!?? KWEEENDRAAAAA!
Yaani upinzani wakiumizwa unakaa kimya nakufurahia... Sasa yamekurudia wewe unaanza kushauri taifa zima tuishi vipi!?!!?? KWEEENDRAAAAA!
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Sep 20, 2023 #443 Tapeli tu hyu dada kamata anatka kutapeli Mali za likwilile
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Sep 20, 2023 Thread starter #444 True Believer said: Kwani aliwahi kukufanyia ukatili gani, icje kuwa ulistahili kufanyiwa huo ukatili. Click to expand... Aliua, alifilisi, alipiga risasi na aliteka watanzania wenzetu wengi sana
True Believer said: Kwani aliwahi kukufanyia ukatili gani, icje kuwa ulistahili kufanyiwa huo ukatili. Click to expand... Aliua, alifilisi, alipiga risasi na aliteka watanzania wenzetu wengi sana