Vicky Kamataa (dada mwenye nyekundu)

Status
Not open for further replies.

Semilong

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
1,711
Reaction score
220






BAADA YA KUMALIZA KUSOMA AMEFANYA UAMUZI MZURI KURUDI BONGO KUJA KUPEWA KITENGO (KUTAFUTA AJIRA).
SOURCE: MICHUZI
 
kwani hujui uchaguzi nekst yia? huwenda akaamua kugombea ubunge bwana- .
 
Je huko amefaulu hayo masomo yake au waalimu walikuwa wanapeta tu kwenye paper zake...? kwani hapa (NYEGEZI) SAUT alichemsha kweli huko ndy anaweza kutoka....?? wadau hebu lete data zake academic huko UK
 
.....Mwanamuziki,mfanyakazi bot,amemaliza shule MBA UK,.....alikuwa karibu na JK...what else do u need??
 
Ametembea na Mohamed Mpakanjia...

au ulitaka nini hasa.

Kweli tunaenda so low!
mi natania tu maana naona request ya kitoto sana
 
Kuna news za kusikitisha kiasi fualani, nilisikia hapa kwetu Magomeni Manda Street. Stori ilikuwa ndeefu, lakini jina la V.K lilikuwa kama main character. Kwa ufupi simfahamu hata kwa sura, na wadhifa wake ndani ya nchi hii, lakini ndani ya stori wasifu wake ulikuwa mzito kupita maelezo.
 

Mkuu Jews4rever hebu fafanua zaidi, story gani hasa nini hasa kilitokea?
 
Ametembea na Mohamed Mpakanjia...

au ulitaka nini hasa.

Kweli tunaenda so low!
mi natania tu maana naona request ya kitoto sana

Those two statements of yours contradict each other. Seems na wewe unachangia hiyo lowness. Uta tangazaje gossip kisha ulalamike watu kwenda low?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…