Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio


Hiyo ndio masters gani tena?nifafanulie tafadhali.
 
It seems kuna watu waongo-reading from this info humu.... Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu pale mitaa ya kati tunapata lunch akaniambia kwamba huyo dada..(alikuwa amepita) kwamba amefanya masters shule moja inaitwa London School of Economics huko UK.

So was he wrong? Maana mimi nilijua ni kichwa sana..ukichukulia hiyo shule inavyoheshimika.

Masanja
 

He!!! another side of the story...
 
Mimi nadhani yanapona..Nimewahi kuwasikia wahubiri wengi tu wakidai kwamba wao walikuwa kama Boss lakini wamepona.Hakuna lisilowezekana kwa MUNGU.

kuna tofauti kati ya kupona na kutuliza, the former inategemea afya ya mtu na the later inategemea uamuzi wa mtu.......... sasa tafakari hao wahubiri wanaangukia upande gani.............
 
Itabidi tumtatafute Mzee Kifimbo yule wa Sani; Halafu watu wanapiga kelele hapa Oooh tungekuwa tunafundisha kwa kiswahili Ooooh watoto wangeelewa. Hata kiswahili ni kigumu pia!
Huenda wewe ni mtu wa mwambao manake hizo uko, uyu zina-sound Umwambao mwabao. Nitakuazima kamusi ya kiswahili sanifu
 
Wakunyumba Masanja!
Hii ni kali, sidhani kama hizi habari tunazo soma hapa dada yetu angeweza kula nondo za London School of Economics......alikuwa Southampton jina la chuo sina uhakika. Siwezi shangaa akiteuliwa na Muungwana kuwa balozi wetu UK.



 

Shhhhhhhhh.......!!!!!!!! Basi.... basi kaka uwe una uma na puliza kidogo halafu angalia wasije wakakusikia
 
ah, ngoja nikanywe tubia twangu naona hapa mada ishaingia sumu hii...
 

......Kumbe huyu mtu kazaa na wanawake wengi ehehehe!! Kuna dada mtu wangu wa karibu naye ana copy ya mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…