Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio


Ikiwa huyu ni yule aliyepangishiwa nyumba pale msimbazi centre.....mhhhh!
Masters degree...????????!!!!!!
hakuna lisilowezekana TZ.
 
Jamani we need to be serious. Vic naye anaweza kupendwa na kupenda
 
Tunaomba matokeo yake au hiyo list ya graduates!!!
 
aaaah, hii ndio Tiizii bana, ni zaidi ya tuijuavyo! Things that an old man can see while sitted, a young man can't see even if he climbs up the tree!
 
aaaah, hii ndio Tiizii bana, ni zaidi ya tuijuavyo! Things that an old man can see while sitted, a young man can't see even if he climbs up the tree!

Duuh nimeipenda hiyo sentesi
 
Nakumbuka kule Mlimani wakati fulani kulikuwa na shahada zinaitwa za nguo za chupi, yawezekana hata ajira za aina hii ziko mingi.

hahahaha! usiniambie Vicky amepata shahada kama hiyo, huko UK. au unarifaa hata kazi zipo za chupi! hahahaha kaaaziiiii kwelikweli!
 

Mkuu MzeePunch, pasua jipu pwaaaaaa!!! Ili mradi usitaje jina la huyo kiongozi fataki!!! Indirect attack mkuu ila ujumbe utawafikia!!! Ila pia yule predeshee marehemu ambaye mke wake aliwahi kutangulia mbele ya haki i.e alitwaliwa si naye alikuwa anaruka hapo wakati Vicky akiwa Mwanza(SAU)??? Kweli huu mzunguko ni mrefu, tuwe makini!!! It is like a vicious cirlce!!
 
mbona wabongo manapenda kutafuniwa, sinimekupa wesite na all information tafuta bwana si unajuwa kuchezxa na IT

Saidia kijana!WEBSITE haionyeshi graduates ...wengine sisi computer ni kama typewriter
 

I salute you Najma, receive my heart, feel it!! Inadunda furaha fulani hivi. Sasa nataka watu wa media fuel this issue, please, tusaidieni jamani. Kama kule BOT kulikuwa na ile kesi ya vyeti feki, basi na hii iwe kesi. Yule jamaa aliandika kile kitabu cha mafisadi wa elimu naomba atoe issue mpya aweke na jina la Vicky Kamata. Pumbafu kabisa, watoto wetu wanazibiwa nafasi nzuri za kazi na vihiyo.
 
kwa kuondowa uongo alikuwa na wanaume pata 40 uku UK kwa kipindi tuu alichoishi akifungua dimba ni

FIRST
1. E. ngondo





40. J. kiggungu

LAST

hapo katikati walipita wanaigeria, waethiopia, cameroon wazungu haikuwezekana maana wanaenglish yakutafunia mawasiliano yanakuwa mabaya zaidi. na kila mmoja kama haikuwa assignment, dissertation basi ni rent. sasa uyu kweli anaweza kusoma. ilikuwa show off tuu , naona fani ile ameshindwa aende kwenye mwanamke nyonga. apewe ubalozi hataongea nini jamani na wakati hata kuandika sentence ya english hajui sijui uo utendaji wake uko BOT sinauwakika ila ni ZIRO
 
kwa kuondowa uongo alikuwa na wanaume pata 40 uku UK kwa kipindi tuu alichoishi akifungua dimba ni

FIRST
1. E. ngondo





40. J. kiggungu

LAST
$h@$%^T ina maana ni mkarimu kiasi hiki? au kesha kanyaga moto ameamua kuwachoma wengine pia?
 
kama ni watu wa kusikia wamesikia! need we tell more?
 
Duh, yaani katika post zote 72 hamna hata moja ya kumtetea huyu dada?

Mimi wala sikuwa namfahamu,kwa nyumbani wala huku ila data zilizomwagwa hapa, duh!
 
Injinia hakuna sababu ya kutetea watu kama hawa, uwepo unazidi kututia kichefuchefu. Nasikia alikuwa analenga kuwa mbunge wa viti maalum, lakini baada ya kugombana na Vailet Mzindakaya ndio plan akibadilika ndio akaenda kusoma, nasikia hata sababu ya kurudi sasa ni mpango wake wa kujaribu tena "bahati" yake!
 

hahah nipo sana tuu hakuna kuogopa kitu, sindio tunataka tuangamishe mafisadi , au si ndio nia yetu sasa kwanini tufiche atoki na mkuu wala nini nimuongo anawatapeli wanaume ili wamuogope kwani uyo mkuu yeye anafagilia hivi vijimambo tuone sasa tafadhali wanahabari ngoma iyo mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…